THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Salaaam wanabaraza.
Kama kichwa cha mada kilivyo hapo juu.
Nahitaji kuagiza gari aina ya Toyota Vanguard ya mwaka 2011/2012.
Kwa kuwa mimi sio mzoefu wa magari ndio maana nimekuja humu kuomba muongozo kwa vitu vifuatavyo.
1.Kampuni gani ni nzuri na ya uhakika kwa ajili ya kuagiza gari tajwa hapo juu.
2.Je kuna utofauti gani mkubwa kati ya Vanguard ya mwaka 2011/12 na zile za miaka ya nyuma yake 2007,8,9 nk
3.Ni mambo gani muhimu napaswa kujua na kuzingatia kabla ya kuagiza, inapofika na baada ya kukabidhiwa gari?
Na mengineyo kama yapo ikiwemo ushauri na maoni yenu.
Naombeni mchango wenu wataalamu wa humu.
Wasaalaaam.
Extrovert, @msahana. @mrangi na wengineo