THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
- Thread starter
-
- #21
Je wana ofisi zao hapa bongo?Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.
Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka
Je wana ofisi zao hapa bongo?
Hao autocom nimewachek kupitia wakala wao hapa bongo angalau kuna afueni tofauti na befwdWanazo lakini si lazima uagize kupitia hizo ofisi. Watakucheki hata kwa WhatsApp, wakala wao wa huko. Wanapunguza bei from usd 100-200. Ningeweza hata kujupa namba ya mmoja wa wakala wao huko ila kwa usalama zaidi ingia mwenyewe kwenye website yao, ukitoa contacts zako mtu atakutafuta. Na documents zitatumwa ofisi ya hapa, clearing agent wako atachukulia hapo. Bei za agent hazizidi laki 3 hata ofisi za bongo wakisema wana agent wao, zingatia hilo, usije ukapigwa
Kwa Vanguard hizo km ndio kawaida. Ukiona mtu anasema chini ya 100,000 be cautious.Nimewacheck beforward wamenipa list yao ila gari nyingi zimechoka.
Zimetembea 100-200k
Na bei yao ipo juu sana.
Kwa Vanguard hizo km ndio kawaida. Ukiona mtu anasema chini ya 100,000 be cautious.
Sawa kabisa jamaa ukiweka contacts zako tu wanaruka hewani. Nachowakubali wana customer care safi kabisa wanaenda na wewe taratibu hadi mnafikia muafaka. Cha muhimu atumie muda kuangalia picha za gari husika na asisite kuuliza chochote kuhusu gari.Wanazo lakini si lazima uagize kupitia hizo ofisi. Watakucheki hata kwa WhatsApp, wakala wao wa huko. Wanapunguza bei from usd 100-200. Ningeweza hata kujupa namba ya mmoja wa wakala wao huko ila kwa usalama zaidi ingia mwenyewe kwenye website yao, ukitoa contacts zako mtu atakutafuta. Na documents zitatumwa ofisi ya hapa, clearing agent wako atachukulia hapo. Bei za agent hazizidi laki 3 hata ofisi za bongo wakisema wana agent wao, zingatia hilo, usije ukapigwa
Kuwa makini na mambo ya km. Gari ina miaka kumi na moja na usher halafu eti imetembea km hizo.Hao autocom nimewachek kupitia wakala wao hapa bongo angalau kuna afueni tofauti na befwd
Wao wana ya 36M ya mwaka 2011
Imetembea 73k
Kuwa makini na mambo ya km. Gari ina miaka kumi na moja na usher halafu eti imetembea km hizo.
Na je vipi naweza kujua kama km imechezewa?Kuwa makini na mambo ya km. Gari ina miaka kumi na moja na usher halafu eti imetembea km hizo.
Van Guard ya 2011 ni seven seater hivo ni ndefu kidogo kuliko za 2007 taa zake za nyuma zimenyanyuka kidogo
Steering yake inabutton kama za.kuongeza Sauti, side mirror alafu kwa nje nyingi zina ufito wa Silver umezunguka milango .
Kwenye kuagiza me nashauri Autocom bei zao zimepoa kidogo hasa kwenye upande wa CIF ukilinganisha na makampuni mengine
Kwa uhakika andaa milion 37 hadi 39 ili uwe baba mwenye van guard
Nimeangalia Autocom 7 seater sijapata yenye vigezo ninavyotakaHata za 2007 kuna 7 seater na hazina utofauti wowote kwenye urefu. Kuna options za 7 au 5 seater katika toleo kuanzia 2007. Tofauti ni body kita kidogo na urembo kwenye taa za nyuma. Kwa kifupi ni body tu ndo tofauti kubwa
IiNachukua maoni yako mkuu
Ahsante kwa ushauri mzuri
Ntazingatia hasa hapo kwenye cc
Naomba link ya site ya hyo gari tafadhali
Naomba link ya site ya hyo gari tafadhali
Wanaonekana wako vizuri sana.Japanese Used Cars | Enhance Auto
Japanese used car exporter Enhance Auto is the leader in quality used vehicles for Tanzania, Kenya, Zambia, Zimbabwe and all of Africa. Quality guaranteed used cars from under $500.www.enhance-auto.jp
Mkuu nimefuata ushauri wako na tayari nimeshaangiza na Autocom(ACJ) nasubiri ifike tu nchini kiasi cha miezi 2 kutoka sasa nilipie ushuru around 17.9MAagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.
Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka