Nahitaji kufahamu tofauti kati Certificate of registration for Taxpayer Identification Number na Service levy

Kumfumaster97

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
1,326
Reaction score
1,451
Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
 
Kwa nilivyoelewa swali lako
1. Certificate of registration for TIN ni kile cheti cha usajili wa mlipa kodi yaani cheti cha TIN inaweza kuwa Business TIN ama non-business TIN
2. Service Levy. Huu ni ushuru wa huduma ambao hulipwa katika halmadhauri nadhani huwa ni 0.5% ya mauzo kwa kila robo mwaka.
Hapo mbele ulipoongezea (BRELA) sijajua ulihitaji kufahamu nini zaidi
 
Nashukuru sanaan kwa maelezo yako ila sijamaanisha kitu cha tofauti nilivyosema BRELA (Business registration and licensing Agency) so far nilitaka nijue ili nilipie service levy ni lazima niwe na leseni ya biashara ?
 
Leseni NI lazima
 
Kwa nilivyoelewa swali lako
1. Certificate of registration for TIN ni kile cheti cha usajili wa mlipa kodi yaani cheti cha TIN inaweza kuwa Business TIN ama non-business TIN
2. Service Levy. Huu ni ushuru wa huduma ambao hulipwa katika halmadhauri nadhani huwa ni 0.5% ya mauzo kwa kila robo mwaka.
Hapo mbele ulipoongezea (BRELA) sijajua ulihitaji kufahamu nini zaidi
Service Levy ni 0.3% ya mauzo baada ya kutoa VAT.
 
Back
Top Bottom