Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Nashukuru sanaan kwa maelezo yako ila sijamaanisha kitu cha tofauti nilivyosema BRELA (Business registration and licensing Agency) so far nilitaka nijue ili nilipie service levy ni lazima niwe na leseni ya biashara ?Kwa nilivyoelewa swali lako
1. Certificate of registration for TIN ni kile cheti cha usajili wa mlipa kodi yaani cheti cha TIN inaweza kuwa Business TIN ama non-business TIN
2. Service Levy. Huu ni ushuru wa huduma ambao hulipwa katika halmadhauri nadhani huwa ni 0.5% ya mauzo kwa kila robo mwaka.
Hapo mbele ulipoongezea (BRELA) sijajua ulihitaji kufahamu nini zaidi
Leseni NI lazimaNashukuru sanaan kwa maelezo yako ila sijamaanisha kitu cha tofauti nilivyosema BRELA (Business registration and licensing Agency) so far nilitaka nijue ili nilipie service levy ni lazima niwe na leseni ya biashara ?
Sawa pamoja mkuuLeseni NI lazima
Service Levy ni 0.3% ya mauzo baada ya kutoa VAT.Kwa nilivyoelewa swali lako
1. Certificate of registration for TIN ni kile cheti cha usajili wa mlipa kodi yaani cheti cha TIN inaweza kuwa Business TIN ama non-business TIN
2. Service Levy. Huu ni ushuru wa huduma ambao hulipwa katika halmadhauri nadhani huwa ni 0.5% ya mauzo kwa kila robo mwaka.
Hapo mbele ulipoongezea (BRELA) sijajua ulihitaji kufahamu nini zaidi
Asante kwa marekebisho mkuuService Levy ni 0.3% ya mauzo baada ya kutoa VAT.