Nahitaji kufahamu ukweli juu ya hili suala kwakuwa nimesikia likizungumziwa sana

IamBrianLeeSnr

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
2,010
Reaction score
4,179
Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha....

Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi sasa litakua ni suala gani hilo...!!!

Kwa wenye ufahamu juu ya hili nahitaji kufaham.

JE, NI KWELI BIASHARA YA UNUNUZI NA UUZWAJI WA FIGO UPO?

NI WAPI BIASHARA HII INAFANYIKA?

Naomba mwongozo juu ya hili ili nifanikishe hili, Kwa hayo machache naomba niwasilishe...

PM ikiwa unavery sensitive opinions!
Cc. DR BILGERT , Mshana Jr , Bujibuji Simba Nyamaume , Extrovert ,raraa reree & Kaka yake shetani
Shukrani kwenu!
 
Kwa kweli biashara hii nimeisikia ila tofauti kabisa
Sio kuwa unaenda na kuwaona wanaonunua la bali wanachukua kibabe au unaibiwa na wewe kuja kujua labda upate tatizo halafu uhitaji vipimo
Hapo ndio huenda tabibu anaweza kukuuliza uliwahi kutolewa Figo maishani mwako?

Unaruka kwa mshangao na kusema mimi nilifanyiwa upasuaji mdogo wa hernia tu au labda lingine ila hili la Figo ndio nasikia leo

Basi umeibiwa mkuu Figo moja pole sana
Ilikuwa wapi hii
India daa pole yako

La pili ni wale wanaotaka kuzamia Ulaya wakipitia nchi za Africa magharibi
Huko unakutana na wale wanaowavusha watu ila wanakuweka kwao mpaka usafiri wako unapofika

Hapo unaulizwa matumizi na hela upfront ya kupelekwa ulaya
Kama huna ndio wanakuambia wapigie ndugu zako na kama hawatumi sisi tunanyonfoa Figo hizo tunaenda kuuza

Sasa mkuu chaguo ni lako mimi wanapouza sujui ila ni baishara very complicated [emoji28]
 
Unataka kuuza Figo yako au Unataka kuanza kuiba za watu ukauze?by the way Muhimbili ilishatoa tamko mwaka Jana kwamba hawanunui Figo labda Jaribu kwa Museveni
Sina lengo baya juu ya hii mada ila ninaomba usaidizi wa hili kwani hata upande wangu it’s very complicated
 
Kwa kweli biashara hii nimeisikia ila tofauti kabisa
Sio kuwa unaenda na kuwaona wanaonunua la bali wanachukua kibabe au unaibiwa na wewe kuja kujua labda upate tatizo
Hizo habari zipo kweli and I did read some articles na zipo wazi worldwide! lkn kwa upande wangu nimeweka wazi ni kwa uhitaji wa kufahamu ni wapi na kweli hii biashara ipo?
 
Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha....

Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi sasa litakua ni suala gani hilo...!!!

Kwa wenye ufahamu juu ya hili nahitaji kufaham....

JE NI KWELI BIASHARA YA UNUNUZI NA UUZWAJI WA FIGO UPO?

NI WAPI BIASHARA HII INAFANYIKA?

Naomba mwongozo juu ya hili ili nifanikishe hili, Kwa hayo machache naomba niwasilishe...

PM ikiwa unavery sensitive opinions!
Cc. DR BILGERT , Mshana Jr , Bujibuji Simba Nyamaume , Extrovert ,raraa reree & Kaka yake shetani
Shukrani kwenu!
Robo tatu siyo moja ya tatu
 
Iran ni ruksa bro. Wahi sasa ukauze.Vigezo na masharti kuzingatiwa.😎
 
Sasa huko kumekumbwa wimbi la matapeli sana! Sitaweza thubutu kufikiria huko pasi na msaada wa aliweza kufikia hatua za kuvuka hiyo mipaka!
 
Na wala nisingekushauri ufanye hilo. Uko vizuri bro. Tahadhari kabla ya hatari.
 
Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha....

Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi sasa litakua ni suala gani hilo...!!!

Kwa wenye ufahamu juu ya hili nahitaji kufaham....

JE NI KWELI BIASHARA YA UNUNUZI NA UUZWAJI WA FIGO UPO?

NI WAPI BIASHARA HII INAFANYIKA?

Naomba mwongozo juu ya hili ili nifanikishe hili, Kwa hayo machache naomba niwasilishe...

PM ikiwa unavery sensitive opinions!
Cc. DR BILGERT , Mshana Jr , Bujibuji Simba Nyamaume , Extrovert ,raraa reree & Kaka yake shetani
Shukrani kwenu!
Sijutii kusoma Sheria, kwasababu kuna mambo mengi sana ambayo nimeyashuhudia katika umri wangu huu mdogo.

Kabla ya kufanya kidney transplant, lazima upate viapo kadhaa kutoka kwa Wakili. Kuna kiapo cha donor (mtoa figo), kiapo cha recepient (mpokea figo), kiapo cha shuhuda wa donor n.k.

Kwa uzoefu wangu, nimewaapisha donors na recipients wawili. Donor mmoja na recipient wake nilikutana nao ana kwa ana( donor alikuwa dada wa recipient).

Baada ya kuwaapisha tu, recipient akafariki siku chache kabla hajahamishiwa figo [emoji24].

Haya mambo yasikie kwa watu tu. Sina uzoefu wa wanaouziana ingawa hii biashara ipo. Ukienda kwenye Hospitali kubwa kama Benjamin Mkapa Hospital Dodoma au Muhimbili kitengo cha magonjwa ya figo unaweza ukapata wateja wengi tu.

Ushauri wangu; usijaribu hii kitu labda iwe kwa mtu wako wa karibu sana, otherwise...[emoji850].
 
Hizo habari zipo kweli and I did read some articles na zipo wazi worldwide! lkn kwa upande wangu nimeweka wazi ni kwa uhitaji wa kufahamu ni wapi na kweli hii biashara ipo?
Dunia hii imeharibika sana kwa sasa
Vijana wamevurugika haswa
Ila Mkuu endelea kujifunza
Utaelewa mengi sana

Mimi napenda kusafiri ila huwa tuko wawili au watatu kila wakati
Napenda kuona miji tofauti duniani na huwa mungalifu sana

Good luck, kwenye utafiti wako
 
Back
Top Bottom