Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha....
Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi sasa litakua ni suala gani hilo...!!!
Kwa wenye ufahamu juu ya hili nahitaji kufaham.
JE, NI KWELI BIASHARA YA UNUNUZI NA UUZWAJI WA FIGO UPO?
NI WAPI BIASHARA HII INAFANYIKA?
Naomba mwongozo juu ya hili ili nifanikishe hili, Kwa hayo machache naomba niwasilishe...
PM ikiwa unavery sensitive opinions!
Cc.
DR BILGERT ,
Mshana Jr ,
Bujibuji Simba Nyamaume ,
Extrovert ,
raraa reree &
Kaka yake shetani
Shukrani kwenu!