Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie.
Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda naweza nikapata ufumbuzi wa matatizo yangu.
Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda naweza nikapata ufumbuzi wa matatizo yangu.