Nahitaji kufanya check up ya mwili mzima nijue magonjwa niliyonayo

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
720
Reaction score
1,410
Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie.

Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda naweza nikapata ufumbuzi wa matatizo yangu.
 
BIMA YA AFYA IKO LIMITED haitoi hio huduma labda uwe na cash na kujiandaa ni karibia million vipimo
Kwahiyo hicho kipimo hakijaletwa kwa ajili ya watz wote ni kwa ajili ya wachache wenye uwezo TU na vipi kuna wale wanaojitangazaga kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanapima magonjwa yote kutumia hicho kipimo na gharama ni 30,000 tu,vipi wanadanganya?
 
Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie.

Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda naweza nikapata ufumbuzi wa matatizo yangu.
Ukienda usisahau kuvaa headphones kama Dj,Dudu Zuri alishaa tuonya.
 
Kwahiyo hicho kipimo hakijaletwa kwa ajili ya watz wote ni kwa ajili ya wachache wenye uwezo TU na vipi kuna wale wanaojitangazaga kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanapima magonjwa yote kutumia hicho kipimo na gharama ni 30,000 tu,vipi wanadanganya?
Wale ni matapeli wakubwa..kwanza mkuu unafaham kweli maana ya check up hata kwa akili tu za kawaida 30,000 itoshe kupima FULL BLOOD PICTURE?figo?n.k?
 
Kwani gharana hua zinapandishwa na vipimo au tiba unayopatiwa? Na kwanini serikali imeweka hela nyingi hivo wakati kifaa kimenunuliwa Kwa Kodi za wananchi?
 
JF ya siku hizi miyeyusho sana.
Comment za masihara ni nyingi kuliko za kutoa msaada!
Coconut empty heads.

Mkuu, nenda ChatGPT kisha nenda hospital iliyo karibu nawe zungumza na madaktari watakupa majibu na miongozo kuhusu tatizo lako.
Nikweli mkuu jamiiforums ya Sasa masihara mengi kuliko point za maana imekua kama Facebook Sasa,pia x.com nayo siku hizi ndo hivo hivo zote sijui zimevamiwa na watoto wa 2000
 
Back
Top Bottom