Sijajua kwa hospitali za serikali bei ikojeFanya tu mkuu.
Ndo nawasubiliaWakikujibu nitag!
Kwanini mkuu wakati mi nahitaji kufanya vipimo vya mwili mzima?Kibongo bongo tunasema , unachokitafuta utakipata bwashee
Ndio utapata majibu mkuu , mbona hakuna ubaya hapo?Kwanini mkuu wakati mi nahitaji kufanya vipimo vya mwili mzima?
Kwahiyo hicho kipimo hakijaletwa kwa ajili ya watz wote ni kwa ajili ya wachache wenye uwezo TU na vipi kuna wale wanaojitangazaga kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanapima magonjwa yote kutumia hicho kipimo na gharama ni 30,000 tu,vipi wanadanganya?BIMA YA AFYA IKO LIMITED haitoi hio huduma labda uwe na cash na kujiandaa ni karibia million vipimo
Ukienda usisahau kuvaa headphones kama Dj,Dudu Zuri alishaa tuonya.Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie.
Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda naweza nikapata ufumbuzi wa matatizo yangu.
Wale ni matapeli wakubwa..kwanza mkuu unafaham kweli maana ya check up hata kwa akili tu za kawaida 30,000 itoshe kupima FULL BLOOD PICTURE?figo?n.k?Kwahiyo hicho kipimo hakijaletwa kwa ajili ya watz wote ni kwa ajili ya wachache wenye uwezo TU na vipi kuna wale wanaojitangazaga kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanapima magonjwa yote kutumia hicho kipimo na gharama ni 30,000 tu,vipi wanadanganya?
Mmmh!basi ngoja niendelee kukaa banch tu nikisubili siku mkeka utikiFull body CT Scan ni Tsh 2,000,000 kwa hospitali za serikali
Kwa hospitali binafsi ni Tsh 3-4m
Kwani gharana hua zinapandishwa na vipimo au tiba unayopatiwa? Na kwanini serikali imeweka hela nyingi hivo wakati kifaa kimenunuliwa Kwa Kodi za wananchi?Wale ni matapeli wakubwa..kwanza mkuu unafaham kweli maana ya check up hata kwa akili tu za kawaida 30,000 itoshe kupima FULL BLOOD PICTURE?figo?n.k?
Nikweli mkuu jamiiforums ya Sasa masihara mengi kuliko point za maana imekua kama Facebook Sasa,pia x.com nayo siku hizi ndo hivo hivo zote sijui zimevamiwa na watoto wa 2000JF ya siku hizi miyeyusho sana.
Comment za masihara ni nyingi kuliko za kutoa msaada!
Coconut empty heads.
Mkuu, nenda ChatGPT kisha nenda hospital iliyo karibu nawe zungumza na madaktari watakupa majibu na miongozo kuhusu tatizo lako.