Gerald1
Senior Member
- Jan 17, 2022
- 107
- 147
Ni biashara ya usambazaji wa nyama za mbuzi katika mabar hapa mjini dar es Salam.
Mbuzi unawatoa mikoani na kuwaingi hapa ndani na kuwa chinja na kuchuna na kisha kuwasambazia ware walio kupa oda ktk mabar
MFANO umepokea oda za bar 30 na zote ukapereka mbuzi kwa Bei ya 110000 na ukawa unafuata kwa week hela yako je unazani utakua unaingiza kiasi gani ndani ya week na hapo hapo kumbuka kuna utumbo ujausambaza kwa mamantilie na kila mbuz mmoja utumbo wake ukaukabiz kwa elf 10000 ambapo akimaliza biashara unafuata au wamwambia akutumie
NAOMBA NISAPOTI HARAFU MIMI NITAKUREJESHEA KWA SIKU KAMA MAANDIKO YA KISHERIA YATAVYO SEMA KUTOKANA NA KIASI UTAKACHO TOA.