Gerald1
Senior Member
- Jan 17, 2022
- 107
- 147
- Thread starter
- #21
Na kingine sio kila bar wanauza ngurue wew or ukokwenu kila bar inauza hiko kitu.Aisee... ungesema mbuzi katoloki ningekuelewa.... lakini mbuzi huyuhuyu mbuzi.... mbuzi kama mbuzi ambaye anapimwa na tumbo lake hazidi kilo 30..... MBUZI HAWA KWA BAR NAJUA NI LAZIMA BAR IWE YAKO.....