jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mbona unalialia sana mtoto wa kiume..si ukafanue hiyo biashara kwani lazima upate mtu huku JF.WALIMWENGU WALIMWENGU JAMANI NILIVYO LETA PENDEKEZO RANGU KWA UMMA MALA YA KWANZA NA KUSEMA MKOANI MBUZI ELF 40 MPAKA ELF 50 MLIPINGA NA WENGINE KUTUKANA KABISA.. ...WATU WA MIKOANI HUKO WAKANISAIDIA KUWASIBITISHIA KWAMBA NI KWELI MBUZI MIKOANI KWAO KUANZIA 40 HADI 60 MKAWA KIMYA LEO MNALETA MADA NYINGINE ILIMRADI TU KUKATISHANA TAMAA. ...... UNAKUTA WENGIWAO WA HIVYO AWANA ELA WALA IDEA WAFANYE NINI KAZI KUPINGA WEZAO NA KUPOTEZEANA MATUMAINI..............TUELIMIKENI JAMANI SIO MNAPINGA TU BILA YA KUCHUNGUZA .
Wapambanaji halisi hua hawaji kulialia humu jf
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app