Nahitaji kuifanya hii biashara endapo nikipata mshirika wa kuniwezesha

Mbona unalialia sana mtoto wa kiume..si ukafanue hiyo biashara kwani lazima upate mtu huku JF.

Wapambanaji halisi hua hawaji kulialia humu jf

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiuliza kwanini asitulie akandika kitu kikaeleweka ... binafsi nimeqmbulia patupu cjui anataka nini
Wewe nikiuliza unafanya biashara gani nitaambulia patupu ata genge ujue kuliendesha Zaid zaid utakufa ukawaacha wanao waki jiuliza kuwa urikuwa ukifanya nini mda wote ata biashara huna......... Na kingine inaonekana nikisimama Mimi na wewe Mimi ninah
 
Natumai mungu ataniongoza vyema nitauza kiwanja changu cha 20 kwa 20 nitaongezea kiasichangu ili tupate banda zuri la kuwaandalia hao mbuzi .... Ni mwenye furaha sana sasa kidogo nipo katika njia ya mafanikio yangu.
Usiuze kiwanja njoo nikukodishe banda
 
Asante kwa hiro Ila kwa anaejua biashara ni maesabu awezi jaji maandishi yakisomeka tu ni mwanga tosha katika biashara... bajeti ya kiasi nitakutumia katika inbox yako.
Mkuu huoni kuwa ni vyema ukaandika hapa hapa ulipoombea hiyo hela?? Kwani unachotaka kuficha ni nini??
 
Mmmh
Hapa tumepigwa na kitu kizito
 
Oky nipe namba zako ili tuongee vyema
 
Huo mkoa unao uongelea ni upi mkuu
Nipo Ushirombo -Geita
Bei ya mbuzi ambaye kidogo anatazamika kwa kulika
Bei ni tshs 65000+
 
Huo mkoa unao uongelea ni upi mkuu
Nipo Ushirombo -Geita
Bei ya mbuzi ambaye kidogo anatazamika kwa kulika
Bei ni tshs 65000+
Geita akunambuzi wengi huko nakatka mikoa yenyembuz kutaja kwa wingi geita haipo ata kwahiyo ni lazima2 mbuz awe na Bei peleleza penyemifugo mingi utajua unafuu now utanisamee kwa kuwa ndio biashara ninayo itazamia kwa Sasa.
 
Ukifanikiwa hii biashara kwa ulichokiandika hapa. Njoo nikuongeze mtaji wa milioni moja bure kama bonus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…