Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Humu kila mtu mjuaji m12 unajenga nyumba ila inatakiwa ujue mahesabu sio ushauri wa mafundi or humu utapoteza pesa bila mpango?pereka mchoro kwa jamaa akupigie hesabu za tofari bati nondo mbao cement nk.nenda hardware lipia kabisa.tatizo linakuja mnapenda kwenda na pesa site unachoambiwa unatoa pesa
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7, nina kiwanja Kibaha, naomba ushauri kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, choo na sebule?
Mwenye mawazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naombeni mtazamo wenu.
 
Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo

Hongera sana.

Nimejenga Goba room tatu mbili master, jiko sebule baraza mbili, shimo la choo nimefunika.

Nimepaua nyumba tayari.

Hadi hapo million 15
 
NDUGU YANGU NAOMBA TUWASILIANE..... NAONA UNA MSAADA MKUBWAA.
 
Ni kujidanganya.tu hapo gharama haziweza linganishwa nyumba a na b kuna mambo mengi sana kwass mafundi tunafahamiana namapungufu yetu weanza utapofika nihatua usiweke hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…