Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Humu kila mtu mjuaji m12 unajenga nyumba ila inatakiwa ujue mahesabu sio ushauri wa mafundi or humu utapoteza pesa bila mpango?pereka mchoro kwa jamaa akupigie hesabu za tofari bati nondo mbao cement nk.nenda hardware lipia kabisa.tatizo linakuja mnapenda kwenda na pesa site unachoambiwa unatoa pesa
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7, nina kiwanja Kibaha, naomba ushauri kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, choo na sebule?
Mwenye mawazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naombeni mtazamo wenu.
 
Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo

Hongera sana.

Nimejenga Goba room tatu mbili master, jiko sebule baraza mbili, shimo la choo nimefunika.

Nimepaua nyumba tayari.

Hadi hapo million 15
 
Utafika level ya pagala hadi linta,utaongeza tena kama 8 nyingine ili uhamie.
-Matofali =1800 (1.8m)
-Gharama ya Ufundi (1500 +600 =2100 x 300 =630,000)
-Kuchimba Msingi (Laki 1)
-Cement Mifuko 60 (60 x 14000 =840,000/=)
-Mchanga Mende 1 (250,000/=)
-Kokoto 1 (130,000/=)
-Lintel gharama(Nondo 30 na Mifuko 6 ya cement = 700,000)

Hapo Juu hadi linta una kama 5m hivi.
NDUGU YANGU NAOMBA TUWASILIANE..... NAONA UNA MSAADA MKUBWAA.
 
Ni kujidanganya.tu hapo gharama haziweza linganishwa nyumba a na b kuna mambo mengi sana kwass mafundi tunafahamiana namapungufu yetu weanza utapofika nihatua usiweke hela
 
Wagonga ulimbo tumefanya hivi halafu wewe una saba unajishauli nn chakuomba mungu fundi awe mwaminifu
IMG_20200816_152925.jpg
 
Back
Top Bottom