Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Inakuaje gharama ikawa kubwa hivyo?
Jamaa huyo kajenga huko kanda ya ziwa cement ni 18k mfuko.

Ila mi nataka nijenge Chumba na sebule kikali, bajeti km 10M hv
Hiyo pesa inatosha kukamilisha nyumba hii hapa chini fully with everything important
 

Attachments

  • IMG_20180827_151941.jpg
    IMG_20180827_151941.jpg
    57 KB · Views: 73
  • IMG_20180827_152507.jpg
    IMG_20180827_152507.jpg
    68.2 KB · Views: 74
Kujenga kumaliza haiwezi mkuu. Shimo la choo tu linaweza kula milion na sehemu. (mchanga, mabomba ya maji taka, tofali/mawe, cement, nondo, bati, milunda, maji, hela ya fundi, gharama za kuchimba, kokoto na usafiri wa kwako mwenyewe kufika site. Kama huna kwa sasa unaweza tumia pipa.

Kwa nyumba ya vyumba vitatu, wingi wa materials utategemea na ukubwa wa vyumba lakini pia eneo kama lipo kwenye muinuko.

Tafuta ramani au ongea na fundi uanze kwanza kununua materials kama vile mchanga, tofali/mawe na kokoto. Kupandisha boma inaweza kua rahisi ila shida inakuja kuanza kwenye kupaua.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
 
Chonga msingi,
Pandisha chumba kimoja
Halafu uendeleze mbele ya safari.



[emoji252] [emoji479]
 
Kuna kampuni wanaitwa VIGUTA wapo pale clock tower, hawa unaweza jengewa hiyo ramani ulosema kwa milioni 7 ,kisha ukalipa ndani ya miaka mitano. Wacheki kwa 0767252290
 
Kama una milion 7 usifikirie nyumba ya kuamia kabisa labda kama utajenga chumba , chumba katikati sebule sawa

Ila kama nyumba ya room 3 , sitting room dining, jiko , store
Balaza mbili , vyoo 2

Anza mdogo mdogo
Kwanza tafuta ramani ya nyumba
Pili fundi,
Tatu tofari za msingi 1000
Mchanga, cement, nondo za msingi
Wachimbaji wa msingi

Ishia hapo hapo kwanza awamu ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kampuni wanaitwa VIGUTA wapo pale clock tower, hawa unaweza jengewa hiyo ramani ulosema kwa milioni 7 ,kisha ukalipa ndani ya miaka mitano. Wacheki kwa 0767252290
Hivi viguta bado wanakopesha viwanja Vigwaza?

[emoji252] [emoji479]
 
Nakushauri usisikilize maneno ya watu,wewe fanya mpaka hapo utakapoishia,kuna watu watakupa ushauri hata uwo hata bei ya tofali hawajui
 
Bado fundi umeme hajakuibia waya. Ukienda kununua vifaa naye. Kumbuka kesho atakwenda kuuza nusu ya hivyo vitu kwa bei ya kutupa hapo hapo mliponunulia
Sio kweli na sio mafundi wote wafanyao ivyo
 
Back
Top Bottom