Ramson Dikumbwaya
New Member
- Aug 17, 2018
- 3
- 1
Mbezi ujenzi wake mgumu sanaMbezi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbezi ujenzi wake mgumu sanaMbezi mkuu
Hiyo pesa inatosha kukamilisha nyumba hii hapa chini fully with everything importantInakuaje gharama ikawa kubwa hivyo?
Jamaa huyo kajenga huko kanda ya ziwa cement ni 18k mfuko.
Ila mi nataka nijenge Chumba na sebule kikali, bajeti km 10M hv
Inawezekana umepigwaNimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Mhona sioni public toilet?Hiyo pesa inatosha kukamilisha nyumba hii hapa chini fully with everything important
Naomba raman ya hii mkuu kama autojal..Hiyo pesa inatosha kukamilisha nyumba hii hapa chini fully with everything important
Uliibiwa au ulimuachia shemeji asimamieNimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Sikuibiwa lakini nilipotezwa kwenye mahesabu. Mfano kwenye bati na Paa. Lakini siwezi kujiaminisha sana maana kuna muda nilikuwa natokaUliibiwa au ulimuachia shemeji asimamie
Muda ulitoka ndio mifuko ya simenti inafukiwa ardhini pamoja na nondo na bati. Hawahamishi. Wanazika chini fasta sana.Sikuibiwa lakini nilipotezwa kwenye mahesabu. Mfano kwenye bati na Paa. Lakini siwezi kujiaminisha sana maana kuna muda nilikuwa natoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi viguta bado wanakopesha viwanja Vigwaza?Kuna kampuni wanaitwa VIGUTA wapo pale clock tower, hawa unaweza jengewa hiyo ramani ulosema kwa milioni 7 ,kisha ukalipa ndani ya miaka mitano. Wacheki kwa 0767252290
Sio kweli na sio mafundi wote wafanyao ivyoBado fundi umeme hajakuibia waya. Ukienda kununua vifaa naye. Kumbuka kesho atakwenda kuuza nusu ya hivyo vitu kwa bei ya kutupa hapo hapo mliponunulia