Nahitaji kujifunza Martial Art

Yes, upo sahihi mkuu, mimi sio kama sifanyi kabisa hapana, nafanya mazoezi kama kawaida, ila niliacha kuwa chini ya mwalimu kutokana na mitikasi ya maisha
Aminia sana kamkubwa.
 
🤔
 
Kuna zile stori kwamba siku ya kwanza unaambiwa upige push up mia tatu 😂
 
kipindi nasoma chuo mbeya,mwanjelwa kulikuwa na watu 2 maarufu,shetani na yesu,yesu alikuwa na gym airport ya zamani,pembeni ya uwanja,miaka ya 1998,nilijifunzia hapo karate za shutokani,baadae nilijiendeleza na gwejuluu,lakini cjawahi pigana na mtu,na kizuri zaidi mimi ni mlokole.
 
aisee siku hizi kuna chimbo gani wanafundisha hapa mbeya
 
Anza kuweka mwili sawa kwa kupiga Push ups na kuruka kichura kichura, maana hayo ndo mazoezi ya kuuandaa mwili
tizi napiga nikiamka asubuhi nakimbia uwanja wa mpira round ishirini na nikimaliza napiga push up hamsini bila kupumzika hiyo nafanya mara nne kwa wiki sio kila siku, ila shida yangu tu nijue hizi sanaa za mapigano.
 
Acha pombe kwanza halafu ngumi utajifunza baadae.
pombe nakunywa ila ni week end tu kama ikitokea katikati ya wiki basi ni sikukuu kama zile idi za juzi.
 
Nimekumbuka jamaa mmoja,pale Mbeya,alikua na bifu na jamaa flani,mmmh.... kilichompata,ni hatari.
Jamaa alifuatwa baa,akaitwa nje,alipofika akakuta kuna vijana wawili,akaanza kushambuliwa kwa mapanga,kila akijipanga,anakutana na panga.Aisee vidole vilibaki pale chini karibia 6.R.I.P to him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…