Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
watoto wangu, naona itawafaa....au ndio ntawafundisha afu waje kunitembezea kichapo mi mwenyewe make watoto wa siku hizi nao hawaelewekina wewe unataka!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watoto wangu, naona itawafaa....au ndio ntawafundisha afu waje kunitembezea kichapo mi mwenyewe make watoto wa siku hizi nao hawaelewekina wewe unataka!!!?
Aminia sana kamkubwa.Yes, upo sahihi mkuu, mimi sio kama sifanyi kabisa hapana, nafanya mazoezi kama kawaida, ila niliacha kuwa chini ya mwalimu kutokana na mitikasi ya maisha
🤔Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Kuna zile stori kwamba siku ya kwanza unaambiwa upige push up mia tatu 😂Mkuu kwa mikoani sijui madojo...ila huku Dar yako mengi....ni kama elimu nyingine tu...hakuna ugumu huo uufikiriao....unaanza kidogokidogo mpaka mwili unazoea....nakutakia kila la heri ukajiunge kidhati....kikubwa inasaidia sana "mental strength" na uvumilivu wa kukabiliana na madhila ya dunia ya kila uchao....kihisia , kiuchumi,kikazi ,mahusiano n.k
Peace 👍
Hili darasa linaanzia umri gani?
Nenda kambi ya jeshi, ukafanye hata vurugu, then uta apply hapovipi sasa kama umejifunza ukawiva alafu hakuna mtu anaekuchikoza si utashindwa pakwenda kuapply ujuzi au inakuaje hapo
Anza kuweka mwili sawa kwa kupiga Push ups na kuruka kichura chura, maana hayo ndo mazoezi ya kuuandaa mwilihao waalimu huwa wanafahamiana unaweza kumuuliza kama ana mwalimu mwenzie ambae yuko mbeya anipigishe tizi?
Hapana sio kweli, ila ni lazima ujue kupiga push ups ili uwe na ngumi nzito pia ukomae kwenye kupiga nakozKuna zile stori kwamba siku ya kwanza unaambiwa upige push up mia tatu 😂
aisee siku hizi kuna chimbo gani wanafundisha hapa mbeyakipindi nasoma chuo mbeya,mwanjelwa kulikuwa na watu 2 maarufu,shetani na yesu,yesu alikuwa na gym airport ya zamani,pembeni ya uwanja,miaka ya 1998,nilijifunzia hapo karate za shutokani,baadae nilijiendeleza na gwejuluu,lakini cjawahi pigana na mtu,na kizuri zaidi mimi ni mlokole.
utundu wako tu,
kitu cha kwanza nilichojifunza ni kuvunja mtu mkono . ukinirushia tu ngumi , mkono huna
unamfuata mbobezi wakati wa ziada anakuna mbinu
tizi napiga nikiamka asubuhi nakimbia uwanja wa mpira round ishirini na nikimaliza napiga push up hamsini bila kupumzika hiyo nafanya mara nne kwa wiki sio kila siku, ila shida yangu tu nijue hizi sanaa za mapigano.Anza kuweka mwili sawa kwa kupiga Push ups na kuruka kichura kichura, maana hayo ndo mazoezi ya kuuandaa mwili
Wapeleke shule ya jeshi mkuuwatoto wangu, naona itawafaa....au ndio ntawafundisha afu waje kunitembezea kichapo mi mwenyewe make watoto wa siku hizi nao hawaeleweki
Ongeza na kupunguza sex, aache kujichua na aache kuvuta sigaraAcha pombe kwanza halafu ngumi utajifunza baadae.
Unajua nini, wengi wanahofia watoto watakua na tabia mbaya, lakini mtoto ukimpeleka kwenye Dojo iliyosajiriwa awezi kuharibika, sana sana kule ndo atanyooka maana kunakuwa kama shule, unalipa ada na michango midogo midogo ya mikandahamnaa wapeleke tena wakijua hiyo itakulinda hadi wewe