Nahitaji kujifunza Martial Art

Nahitaji kujifunza Martial Art

Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa

Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto

Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema

Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia

Kifupi unafundishwa mambo mengi sana

Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
🤔
 
Mkuu kwa mikoani sijui madojo...ila huku Dar yako mengi....ni kama elimu nyingine tu...hakuna ugumu huo uufikiriao....unaanza kidogokidogo mpaka mwili unazoea....nakutakia kila la heri ukajiunge kidhati....kikubwa inasaidia sana "mental strength" na uvumilivu wa kukabiliana na madhila ya dunia ya kila uchao....kihisia , kiuchumi,kikazi ,mahusiano n.k

Peace 👍
Kuna zile stori kwamba siku ya kwanza unaambiwa upige push up mia tatu 😂
 
kipindi nasoma chuo mbeya,mwanjelwa kulikuwa na watu 2 maarufu,shetani na yesu,yesu alikuwa na gym airport ya zamani,pembeni ya uwanja,miaka ya 1998,nilijifunzia hapo karate za shutokani,baadae nilijiendeleza na gwejuluu,lakini cjawahi pigana na mtu,na kizuri zaidi mimi ni mlokole.
 
kipindi nasoma chuo mbeya,mwanjelwa kulikuwa na watu 2 maarufu,shetani na yesu,yesu alikuwa na gym airport ya zamani,pembeni ya uwanja,miaka ya 1998,nilijifunzia hapo karate za shutokani,baadae nilijiendeleza na gwejuluu,lakini cjawahi pigana na mtu,na kizuri zaidi mimi ni mlokole.
aisee siku hizi kuna chimbo gani wanafundisha hapa mbeya
 
Anza kuweka mwili sawa kwa kupiga Push ups na kuruka kichura kichura, maana hayo ndo mazoezi ya kuuandaa mwili
tizi napiga nikiamka asubuhi nakimbia uwanja wa mpira round ishirini na nikimaliza napiga push up hamsini bila kupumzika hiyo nafanya mara nne kwa wiki sio kila siku, ila shida yangu tu nijue hizi sanaa za mapigano.
 
Nimekumbuka jamaa mmoja,pale Mbeya,alikua na bifu na jamaa flani,mmmh.... kilichompata,ni hatari.
Jamaa alifuatwa baa,akaitwa nje,alipofika akakuta kuna vijana wawili,akaanza kushambuliwa kwa mapanga,kila akijipanga,anakutana na panga.Aisee vidole vilibaki pale chini karibia 6.R.I.P to him.
 
Back
Top Bottom