Nahitaji kujifunza Martial Art

kumbe ni wewe mkuu, hahahah
 
Nicheki dm kama upo seriously
 
Kweli mkuu kombat ni nzuri lkn hawezi kufundishwa raia wa kawaida ukiona mtu anajua kombat jiulize mara mbili
 
Kuna aina ya mapigano ambayo inamiiko yake ambayo huwezi ukamfundisha raia wa kawaida ikiwemo kombat naongea nikiwa na uzoefu wengi wao ni watu wenye mafunzo maalum waliopata nje ya nchi wengi wao wameshika sana dini ni watu wapole mpaka wanasikiliza cd empty just a joke lkn ndo hivo
 
Kama unataka kujifunza mchezo kwa kupigana hutakaa ujue na ukijua utaishia polisi


Mkuu nakuchek nipashe nshaanza ota nyama uzembe
 
Yes, upo sahihi, mpaka sasa najivunia kitu kimoja tu, nikiingia anga za wenyewe nasikilizwa sijui bado wana info zangu,
Naamua kuishi maisha ya kawaida sana lakini kuna muda nalazimika kuzima simu
 
Wapi dar es salaam wanafundisha muay Thai mkuu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Za aina gani toa package tuzijue.shotocan,gujuruu,ninja,judo, mortal kombat,karate,masumbwi,kickbox,nk
 
Sikubishii kwa ambayo umeelezea kiukweli upo sahihi sana japo hiyo Sanaa ili ufundishwe yenyewe kabisa katika uhalisia wake kuna eneo la kwenda ambalo ni wachache tu hufika.

Kama ulivyosema pia inahitaji mtu ambaye anajitambua 100% si mtu ambaye anahitaji kujua kwa ajili ya malipizi ya ugomvi wa bar.

Wenye hiyo Sanaa hadi kufikia hatua akaitumia maana yake ulionyesha wazi umefikia hatua ambayo ulikuwa unaleta maafa kwa ukawaida muhusika lazima ataondoka aonekane mjinga kuliko matokeo ya Sanaa yake endapo ataitumia na ndiyo maana kitabu cha mtaala mwanzoni tu unapofunua kinakwambia THESE MAN ARE LEARNING KILLING SKILLS NOT SPORT.
 
Nilijifunza combat since hata sijaingia chomboni mwl alifundishwa na retired special force pande za pwani huko ni ni moja ya art ambayo ni deadly sana although ngumi sio za kujisifia kila mchezo ni mzuri inatokana umemaster vipi
OSS Tuonane kama bado una pasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…