Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupunguza nguvu za mwili na kupata maumivu makali kwa pigo dogokwa nini kupunguza sex, huwa inasababisha nini?
kwa uko mbeya jifunze ata boxing.
kumbe ni wewe mkuu, hahahahWasalaaaaam wazee.
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano.
Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri...
Je ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya hilo pigo atakalopewa akasimulie ukoo wao wote.
Nipo Mbeya. Kwa wanaojua mkoa wa mbeya mafunzo hayo nitayapata wapi naomba anijuze.
Kuna ishu iliniitokea juzi siku ya iddi mosi, nikaenda pub moja hivi matata sana kwajili ya kupata ulabu na mbuzu choma kidogo
Sasa nikiwa mule ndani kuna jamaa mmoja tukazinguana vikali tu nikasimama kwajili ya mpambano maana naye alionesha wazi anataka tupigane.....nikajipanga mkao wa vita sasa...... Eebwanaeeee nilikula pigo moja hivi la ajabu kisha akanimalizia na teke moja hivi nikaona sasa huyu simuwezi maana anaonekana anamafunzo ya kupigana wakati mimi sina. Nikataka kumtwisha chupa la kvant wadau wakaja kuzuia pale.
Na mimi nataka kujua kupigana maana sasa tunakoelekea sio kuzuri.
Nicheki dm kama upo seriouslyWasalaaaaam wazee.

Kweli mkuu kombat ni nzuri lkn hawezi kufundishwa raia wa kawaida ukiona mtu anajua kombat jiulize mara mbiliHatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Huwezi kombat inamiiko yake labda ukutane na wahuni watakudanganyanilisikia hiyo kravmaga wanapiga wanajeshi wa israel. vipi hii kombat wataalam wake naweza kuwapata huku uraiani kweli?
Kama unataka kujifunza mchezo kwa kupigana hutakaa ujue na ukijua utaishia polisiKwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki
Tuma neno "Martial arts"
0693322300
Uwe Dar es salaam.
Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.
Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Kama unataka kujifunza mchezo kwa kupigana hutakaa ujue na ukijua utaishia polisi
Mkuu nakuchek nipashe nshaanza ota nyama uzembe
Yes, upo sahihi, mpaka sasa najivunia kitu kimoja tu, nikiingia anga za wenyewe nasikilizwa sijui bado wana info zangu,Kuna aina ya mapigano ambayo inamiiko yake ambayo huwezi ukamfundisha raia wa kawaida ikiwemo kombat naongea nikiwa na uzoefu wengi wao ni watu wenye mafunzo maalum waliopata nje ya nchi wengi wao wameshika sana dini ni watu wapole mpaka wanasikiliza cd empty just a joke lkn ndo hivo
Nilijifunza combat since hata sijaingia chomboni mwl alifundishwa na retired special force pande za pwani huko ni ni moja ya art ambayo ni deadly sana although ngumi sio za kujisifia kila mchezo ni mzuri inatokana umemaster vipiHuwezi kombat inamiiko yake labda ukutane na wahuni watakudanganya
Vipi kuhusu master wako?? Na master wake??Piga Kombat mzee,
Binafsi siwezi kusimama na mtu zaidi ya dakika moja, yaani dakika moja hutoboi
Wapi dar es salaam wanafundisha muay Thai mkuuAcha ugomvi kwanza,
martial arts zipo nyingi sana, ila kama hutaki kupoteza muda piga kick boxing au muay thai... Very offensive and deadly
karate inahitaji program ya kuanzia 4 to 6 months ya awali kitu ambacho wengi huishia njiani wanakimbia.
kick boxing na muay thai hazina mlolongo wa kata kama karate kikubwa kujituma, unawewa kuwa poa kuanzia 1 to 4 months unakarisha 2 to 4 unarmed men (ordinary).
Za aina gani toa package tuzijue.shotocan,gujuruu,ninja,judo, mortal kombat,karate,masumbwi,kickbox,nkKwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki
Tuma neno "Martial arts"
0693322300
Uwe Dar es salaam.
Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.
Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Tafuta ma ustaadhi hawa wanajua wapi utapata chuoHaya mafunzo ni ya muhimu sana,kwa Mwanza watalaamu wanapatikana wapi?
Mi nilipigia Arusha mkuu.
Sikubishii kwa ambayo umeelezea kiukweli upo sahihi sana japo hiyo Sanaa ili ufundishwe yenyewe kabisa katika uhalisia wake kuna eneo la kwenda ambalo ni wachache tu hufika.Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Yah ni kweli😲😲🤣🤣
Hivi unajua kuwa wako walimu wa COMBAT huku mitaani wanaopewa nafasi kufundisha baadhi ya wanafunzi wa huko ULIKOKUTAJA?!!!
OSS Tuonane kama bado una pashaNilijifunza combat since hata sijaingia chomboni mwl alifundishwa na retired special force pande za pwani huko ni ni moja ya art ambayo ni deadly sana although ngumi sio za kujisifia kila mchezo ni mzuri inatokana umemaster vipi