Nahitaji kujifunza Martial Art

Nahitaji kujifunza Martial Art

Acha kumdanganya mwenzio mkuu, kwamba wewe unaweza kushinda kwa Kila pambano hapa chini ya jua, Nina wasiwasi na sehemu ulipochukua hiyo Kombat yako.
Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa

Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto

Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema

Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia

Kifupi unafundishwa mambo mengi sana

Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
 
Sasa nikiwa mule ndani kuna jamaa mmoja tukazinguana vikali tu nikasimama kwajili ya mpambano maana naye alionesha wazi anataka tupigane.....nikajipanga mkao wa vita sasa...... Eebwanaeeee nilikula pigo moja hivi la ajabu kisha akanimalizia na teke moja hivi nikaona sasa huyu simuwezi maana anaonekana anamafunzo ya kupigana wakati mimi sina. Nikataka kumtwisha chupa la kvant wadau wakaja kuzuia pale.
.

[emoji23]
 
Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa

Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto

Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema

Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia

Kifupi unafundishwa mambo mengi sana

Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
😍
Sasa unataka uwe Uchi -deshi wa Kravmaga 🤣

Best wishes Sensei👍
 
Sawa, Kama unatambua kwamba hayo uliyonayo Kuna mtu alikufundisha huwezi kuwa na ujasiri wa kusema unakalisha mtu yeyote within a second. Wewe umeenda ukiwa 19yrs-28yrs wengine hiyo kitu ni lifestyle tangu tunajitambua na hatujui mwisho ni lini mkuu.
 
Hapana huwa napenda kujilinda haswa huu ujio wa Panyaroad umenifanya nianze na Meditation ili kufungua mafile yangu kwanza
🤣👍👍

Ila kwa elimu uliyonayo kibaka hakusumbui....but mkuu kwa issue ya Panya Road si nyepesi hata....kwani wanakuwa wengi sana na mapanga ya ambush...sasa labda uwe na elimu ya Kravmaga utapambana nao wote....ila kwa elimu uliyonayo....unaweza kuchapa hata watatu halafu UKAKIMBIA ENEO HILO 🤣🤣
 
Piga Kombat mzee,

Binafsi siwezi kusimama na mtu zaidi ya dakika moja, yaani dakika moja hutoboi
mbona nilisikia kwamba combat ni ya wajeda haifundishwi dojo za uraiani, ila sijui kama ni kweli.
 
😲😲🤣🤣

Hivi unajua kuwa wako walimu wa COMBAT huku mitaani wanaopewa nafasi kufundisha baadhi ya wanafunzi wa huko ULIKOKUTAJA?!!!
 
Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa

Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto

Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema

Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia

Kifupi unafundishwa mambo mengi sana

Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
nilisikia hiyo kravmaga wanapiga wanajeshi wa israel. vipi hii kombat wataalam wake naweza kuwapata huku uraiani kweli?
 
Huyu jamaa Soma maandiko yake then yafurahie lakini nakushauri usiyaweke akilini utapotea kirahisi Sana.
 
😲😲🤣🤣

Hivi unajua kuwa wako walimu wa COMBAT huku mitaani wanaopewa nafasi kufundisha baadhi ya wanafunzi wa huko ULIKOKUTAJA?!!!
nahitaji kujifunza hiyo combat. hivi combat inahusisha kuchana misamba?
 
Mkuu kwa mikoani sijui madojo...ila huku Dar yako mengi....ni kama elimu nyingine tu...hakuna ugumu huo uufikiriao....unaanza kidogokidogo mpaka mwili unazoea....nakutakia kila la heri ukajiunge kidhati....kikubwa inasaidia sana "mental strength" na uvumilivu wa kukabiliana na madhila ya dunia ya kila uchao....kihisia , kiuchumi,kikazi ,mahusiano n.k

Peace 👍
 
aisee mimi niko mbeya na huku kama ulivyosema sidhani kama nitapata mwalimu wa combat..
 
Sawa, Kama unatambua kwamba hayo uliyonayo Kuna mtu alikufundisha huwezi kuwa na ujasiri wa kusema unakalisha mtu yeyote within a second. Wewe umeenda ukiwa 19yrs-28yrs wengine hiyo kitu ni lifestyle tangu tunajitambua na hatujui mwisho ni lini mkuu.
Yes, upo sahihi mkuu, mimi sio kama sifanyi kabisa hapana, nafanya mazoezi kama kawaida, ila niliacha kuwa chini ya mwalimu kutokana na mitikasi ya maisha
 
hao waalimu huwa wanafahamiana unaweza kumuuliza kama ana mwalimu mwenzie ambae yuko mbeya anipigishe tizi?
 
Back
Top Bottom