Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
👍Yah ni kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍Yah ni kweli
Yes, mafunzo yanaanzia hapa hapa Bongo, binafsi nilijikuta tu naambiwa kwamba ninafaa kulingana na wepesi wangu wa kimwili na uelewa, walianza kunisoma kwanza kisaikolojia (jamaa sometimes wanatumia uchawi)Sikubishii kwa ambayo umeelezea kiukweli upo sahihi sana japo hiyo Sanaa ili ufundishwe yenyewe kabisa katika uhalisia wake kuna eneo la kwenda ambalo ni wachache tu hufika.
Kama ulivyosema pia inahitaji mtu ambaye anajitambua 100% si mtu ambaye anahitaji kujua kwa ajili ya malipizi ya ugomvi wa bar.
Wenye hiyo Sanaa hadi kufikia hatua akaitumia maana yake ulionyesha wazi umefikia hatua ambayo ulikuwa unaleta maafa kwa ukawaida muhusika lazima ataondoka aonekane mjinga kuliko matokeo ya Sanaa yake endapo ataitumia na ndiyo maana kitabu cha mtaala mwanzoni tu unapofunua kinakwambia THESE MAN ARE LEARNING KILLING SKILLS NOT SPORT.
Pia niliambiwa kabisa, unaweza ukawa unapigana na mtu uraiani (tulikuwa tukifundishwa na boksa kidogo ili kubalance mambo yanapozidi) wewe ukawa unafanya kama utani hivi ila mwenzio akataka kushambulia eneo hatarishi bila ya yeye mwenyewe kujua hivyo ikapelekea wewe kupanick na kujikuta unafanya kweliSikubishii kwa ambayo umeelezea kiukweli upo sahihi sana japo hiyo Sanaa ili ufundishwe yenyewe kabisa katika uhalisia wake kuna eneo la kwenda ambalo ni wachache tu hufika.
Kama ulivyosema pia inahitaji mtu ambaye anajitambua 100% si mtu ambaye anahitaji kujua kwa ajili ya malipizi ya ugomvi wa bar.
Wenye hiyo Sanaa hadi kufikia hatua akaitumia maana yake ulionyesha wazi umefikia hatua ambayo ulikuwa unaleta maafa kwa ukawaida muhusika lazima ataondoka aonekane mjinga kuliko matokeo ya Sanaa yake endapo ataitumia na ndiyo maana kitabu cha mtaala mwanzoni tu unapofunua kinakwambia THESE MAN ARE LEARNING KILLING SKILLS NOT SPORT.
Hakika Sanaa hiyo imejumuisha mambo mengi Sana ambayo ngumu mno kuyakuta katika arts ambazo civilian anakuwa trained nazo. Humo ni mwendo wa combination na physical training za maana. Binafsi Tae kwon do sipo interested nayo kivile Kama Muay Boran..Pia niliambiwa kabisa, unaweza ukawa unapigana na mtu uraiani (tulikuwa tukifundishwa na boksa kidogo ili kubalance mambo yanapozidi) wewe ukawa unafanya kama utani hivi ila mwenzio akataka kushambulia eneo hatarishi bila ya yeye mwenyewe kujua hivyo ikapelekea wewe kupanick na kujikuta unafanya kweli
Mimi walikuwa wakinifundisha Karate Kombat (ambayo inaanzia hapa Bongo), wakawa wanaichanganyia na Taekwondo ila nikawa naipenda na kuielewa zaidi Karate Kombat kuliko TaeKwondo, hivyo ikabidi waache kunifundisha TaeKwondo wakabaki na Karate Kombat kisha wakaniongezea Boxer kama mchezo wa kufanyia utani
Mnapewa option ya mchezo wa ziada ili hata ikitokea ulazima wa kupigana basi utumie hiyo ziada, mimi nilichagua Boxer japo siendani nayo maana nina mwili mdogo ila nilikuwa shabiki mkubwa wa Mike Tyson
Kiufupi mafunzo ni mengi sana, yakiwemo namna ya kudhibiti hasira, kuishi na watu uraiani, kujizuia tamaa za kimwili, yaani mambo ni mengi mno
Hapa Dar nafahamiana na baadhi ya walimu wa Karate ila sijui wanafundishia wapi maana mmoja najua ni mwalimu wa Al Hikma mwingine huwa nakutana nae siku moja moja Town akitoka kufundisha Karate (Sho-to-kan) (sijui ndo wanavyoita maana kwenye Kombat tuna Sho-To-Uke) sema zaidi ya salamu sina story nae
Mi nilianza boxing nikiwa mdogo sana ndo ya kwanza kujifunza hata sasa hivi kwenye rings naingia lkn yakutoana mafua sio ya kulipwa kuna miaka nilikuwa nafaika pale amana dar then hayo mengine yakafuataPia niliambiwa kabisa, unaweza ukawa unapigana na mtu uraiani (tulikuwa tukifundishwa na boksa kidogo ili kubalance mambo yanapozidi) wewe ukawa unafanya kama utani hivi ila mwenzio akataka kushambulia eneo hatarishi bila ya yeye mwenyewe kujua hivyo ikapelekea wewe kupanick na kujikuta unafanya kweli
Mimi walikuwa wakinifundisha Karate Kombat (ambayo inaanzia hapa Bongo), wakawa wanaichanganyia na Taekwondo ila nikawa naipenda na kuielewa zaidi Karate Kombat kuliko TaeKwondo, hivyo ikabidi waache kunifundisha TaeKwondo wakabaki na Karate Kombat kisha wakaniongezea Boxer kama mchezo wa kufanyia utani
Mnapewa option ya mchezo wa ziada ili hata ikitokea ulazima wa kupigana basi utumie hiyo ziada, mimi nilichagua Boxer japo siendani nayo maana nina mwili mdogo ila nilikuwa shabiki mkubwa wa Mike Tyson
Kiufupi mafunzo ni mengi sana, yakiwemo namna ya kudhibiti hasira, kuishi na watu uraiani, kujizuia tamaa za kimwili, yaani mambo ni mengi mno
Hapa Dar nafahamiana na baadhi ya walimu wa Karate ila sijui wanafundishia wapi maana mmoja najua ni mwalimu wa Al Hikma mwingine huwa nakutana nae siku moja moja Town akitoka kufundisha Karate (Sho-to-kan) (sijui ndo wanavyoita maana kwenye Kombat tuna Sho-To-Uke) sema zaidi ya salamu sina story nae
Mkuu ulijifunza lini maana ule uzi wako wa panya road ulisema ulitetemeka😃😃😂Kwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki
Tuma neno "Martial arts"
0693322300
Uwe Dar es salaam.
Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.
Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Mkuu ulijifunza lini maana ule uzi wako wa panya road ulisema ulitetemeka😃😃😂
Ile ilikuwa 2016 huu ni mwaka 2022 mkuu miaka sita ni mingi sana
mbona kama na wewe una dojo lako mkuu🤔 au ndo siwezi jibiwa mpaka PM?Pia niliambiwa kabisa, unaweza ukawa unapigana na mtu uraiani (tulikuwa tukifundishwa na boksa kidogo ili kubalance mambo yanapozidi) wewe ukawa unafanya kama utani hivi ila mwenzio akataka kushambulia eneo hatarishi bila ya yeye mwenyewe kujua hivyo ikapelekea wewe kupanick na kujikuta unafanya kweli
Mimi walikuwa wakinifundisha Karate Kombat (ambayo inaanzia hapa Bongo), wakawa wanaichanganyia na Taekwondo ila nikawa naipenda na kuielewa zaidi Karate Kombat kuliko TaeKwondo, hivyo ikabidi waache kunifundisha TaeKwondo wakabaki na Karate Kombat kisha wakaniongezea Boxer kama mchezo wa kufanyia utani
Mnapewa option ya mchezo wa ziada ili hata ikitokea ulazima wa kupigana basi utumie hiyo ziada, mimi nilichagua Boxer japo siendani nayo maana nina mwili mdogo ila nilikuwa shabiki mkubwa wa Mike Tyson
Kiufupi mafunzo ni mengi sana, yakiwemo namna ya kudhibiti hasira, kuishi na watu uraiani, kujizuia tamaa za kimwili, yaani mambo ni mengi mno
Hapa Dar nafahamiana na baadhi ya walimu wa Karate ila sijui wanafundishia wapi maana mmoja najua ni mwalimu wa Al Hikma mwingine huwa nakutana nae siku moja moja Town akitoka kufundisha Karate (Sho-to-kan) (sijui ndo wanavyoita maana kwenye Kombat tuna Sho-To-Uke) sema zaidi ya salamu sina story nae
ulijifunzia wapi kombat mtaalam inaonekana kali sana hiyoYes, upo sahihi, mpaka sasa najivunia kitu kimoja tu, nikiingia anga za wenyewe nasikilizwa sijui bado wana info zangu,
Naamua kuishi maisha ya kawaida sana lakini kuna muda nalazimika kuzima simu
Yap! Kravmaga! No commentHatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Nipo chomboni Chaka huku maisha yng tu outside people yako very limited japo napasha sanaOSS Tuonane kama bado una pasha
😍Unajua nini, wengi wanahofia watoto watakua na tabia mbaya, lakini mtoto ukimpeleka kwenye Dojo iliyosajiriwa awezi kuharibika, sana sana kule ndo atanyooka maana kunakuwa kama shule, unalipa ada na michango midogo midogo ya mikanda
Safi Sana,Sikubishii kwa ambayo umeelezea kiukweli upo sahihi sana japo hiyo Sanaa ili ufundishwe yenyewe kabisa katika uhalisia wake kuna eneo la kwenda ambalo ni wachache tu hufika.
Kama ulivyosema pia inahitaji mtu ambaye anajitambua 100% si mtu ambaye anahitaji kujua kwa ajili ya malipizi ya ugomvi wa bar.
Wenye hiyo Sanaa hadi kufikia hatua akaitumia maana yake ulionyesha wazi umefikia hatua ambayo ulikuwa unaleta maafa kwa ukawaida muhusika lazima ataondoka aonekane mjinga kuliko matokeo ya Sanaa yake endapo ataitumia na ndiyo maana kitabu cha mtaala mwanzoni tu unapofunua kinakwambia THESE MAN ARE LEARNING KILLING SKILLS NOT SPORT.
Kuna watu wakiona mtu ana uwezo mkubwa kimapigano wanadhani ile imetokea tu kwa mazoezi haya ya kawaida yanoyoonekana machoni pa wengi. Kuna maumivu utakutana nayo utatamani roho ichomoke upumzike.Changanya michezo ya mapigano utanishukuru. Usijikite kwenye mchezo mmoja tu labda iwe Shaolin (Sio Shaolinj).
Nimeanza kujifunza boxing.
Nilipitia karate kiasi. Nikapitia Muaithai kiasi (kiupande wangu hawa majamaa wana mazoezi magumu sana). Sasa najifunza boxing.
Ukiwa unapasha mwenyewe kuna mapigo unachanganya unakuwa unayabuni mwenyewe.
Nimeamua kuchanganya baada ya kuona wale vichaa wa MMA wanavyopigana. MMA mafunzo yao yamechanganya michezo ya aina tofauti.
Cha muhimu zaidi uwe mvumilivu wa mazoezi.
Mae geri Squat/ Squatting Geri. Siku ya kwanza nimepigishwa 100 kwa 100 zote. Nyama za nyuma ya mapaja ziliuma vibaya mno. Ukitembea unasikia kabisa miguu inaita. Ukiamka asubuhi kama haujapiga angalau squats kidogo utatembea kama una mshipa. Kwenye long call utapata tabu kidogo ile ishu ya kuchuchumaa ila mwili ndiyo unajengeka ukiwa mvumilivu.
Hii kitu inaua sana nguvu za miguu!Ongeza na kupunguza sex, aache kujichua na aache kuvuta sigara