Nahitaji kujifunza Martial Art

Nahitaji kujifunza Martial Art

Hii kitu inaua sana nguvu za miguu!

Ashakum si matusi! Sijawahi kufanya mapenzi ila kuna siku niliingiwa na mdudu gani sijui (astaghfirullah) nikajichua halafu jioni nikaenda tizi! Miguu haikuwa na nguvu na inawahi kuchoka.
🤣🤣
 
Kuna watu wakiona mtu ana uwezo mkubwa kimapigano wanadhani ile imetokea tu kwa mazoezi haya ya kawaida yanoyoonekana machoni pa wengi. Kuna maumivu utakutana nayo utatamani roho ichomoke upumzike.
Mzee yaani acha!

Hii michezo ni lazima ulipie gharama za maumivu.

Kipindi ambacho najiona nakwiva ile kiuanafunzi unajiona upo vizuri, nilipigwa Yoko Geri. Mzee nilirushwa! Na pumzi ikakata! Najaribu kunyanyuka maumivu nikitaka kuongea pumzi inakata.

Master ananiambia wewe unafanya mazoezi upo hivyo kwa ambaye hafanyi atakuwaje?
 
Kuna watu wakiona mtu ana uwezo mkubwa kimapigano wanadhani ile imetokea tu kwa mazoezi haya ya kawaida yanoyoonekana machoni pa wengi. Kuna maumivu utakutana nayo utatamani roho ichomoke upumzike.
Acha kabisa!

Nilikuwa napiga tizi jioni. Kufika home kula chakula mikono inatetemeka. Niliahamia kula chakula kwa kutumia kijiko. Yaani unakiona kijiko kabisa kinacheza.
 
Mzee yaani acha!

Hii michezo ni lazima ulipie gharama za maumivu.

Kipindi ambacho najiona nakwiva ile kiuanafunzi unajiona upo vizuri, nilipigwa Yoko Geri. Mzee nilirushwa! Na pumzi ikakata! Najaribu kunyanyuka maumivu nikitaka kuongea pumzi inakata.

Master ananiambia wewe unafanya mazoezi upo hivyo kwa ambaye hafanyi atakuwaje?
Vijana wakifanya mazoezi miezi sita anajiona ana uwezo wa kupambana na binadamu yeyote.
 
Changanya michezo ya mapigano utanishukuru. Usijikite kwenye mchezo mmoja tu labda iwe Shaolin (Sio Shaolinj).

Nimeanza kujifunza boxing.

Nilipitia karate kiasi. Nikapitia Muaithai kiasi (kiupande wangu hawa majamaa wana mazoezi magumu sana). Sasa najifunza boxing.

Ukiwa unapasha mwenyewe kuna mapigo unachanganya unakuwa unayabuni mwenyewe.

Nimeamua kuchanganya baada ya kuona wale vichaa wa MMA wanavyopigana. MMA mafunzo yao yamechanganya michezo ya aina tofauti.

Cha muhimu zaidi uwe mvumilivu wa mazoezi.

Mae geri Squat/ Squatting Geri. Siku ya kwanza nimepigishwa 100 kwa 100 zote. Nyama za nyuma ya mapaja ziliuma vibaya mno. Ukitembea unasikia kabisa miguu inaita. Ukiamka asubuhi kama haujapiga angalau squats kidogo utatembea kama una mshipa. Kwenye long call utapata tabu kidogo ile ishu ya kuchuchumaa ila mwili ndiyo unajengeka ukiwa mvumilivu.
aisee mimi ni mvumilivu, nimependa sana ulivyosema. Binafsi napenda sana mazoezi kama hayo. Yaani napenda jinsi ukimaliza mazoezi mwili unavyouma pia baada ya mazoezi hayo unapata usingizi mzito mnooo. Mimi huwa napasha asubuhi kukimbia kilomita 2 na push up 60 basi. ila nahitaji kujifunza sanaa ya mapigano yaani (Martial Art)
 
Unafikiri?

Kwanza wewe mwenyewe utajiona una mabadiliko.

Mapaja yanawahi kuchoka: Hutopiga kick ya uhakika. Squats utaishia njiani.
kwanini unasema squart ni ngumu?
 
Mzee ulipigwa kizembe hvo ningekua mm nisingekubal ningmpga na chupa mapema sana ani
 
Angekutandika konde jingine hadi chupa ya kvant usingejua imedondokea wapi. Ukiona mtu ameshakushinda mapigo, kimbia, siyo ujinga.
huwezi amini nilijiona mjinga sana kuto kujua hivi vitu, mimi sio mtaalam ila jamaa alinizidi nikaona hapa siwezi. sasa na mimi nahitaji kujifunza.
 
Mzee ulipigwa kizembe hvo ningekua mm nisingekubal ningmpga na chupa mapema sana ani
nilishabeba chupa nimtwange nayo ila baunsa wakaniwahi kunizuia aisee nilimind vibayaa lakini huu ni muda wa mimi kujifunza pia tena wala sitakuwa mkorofi.
 
kwanini unasema squart ni ngumu?
Si ngumu!

Ila ukiwa mtu wa mazoezi si unajua mapenzi hutakiwi kuendekeza sana?

Ukifanya mapenzi/ukijichua unapunguza nguvu (unawahi kuchoka) na unapata maumivu kwa haraka.

Nimetolea mfano kwenye squats kwa sababu binafsi ilishawahi kunitokea. Nimefika 60 mapaja yakaanza kuchoka.
 
inamaana mpaka unafika squart 60 ulikuwa unaenda kupiga squart 100!!? Je ni zipi zile za kuchuchumaa kiasi halafu unasubiri kidogo kuinuka au ni zile za moja kwa moja yani unabend alafu unainuka muda huo huo? Ni squart zipi unapiga kati ya hizo nilizotaja hapo !!!!!!??
 
Ukitaka ujipanue kimbinu changanya michezo judo,bjj utajifunza pinning technique,strangulation technique ground technique cheza karate jifunze simple technique ambazo utazimaster na utaweza kuzitumia kwa defense na offense mwisho michezo ni mingi ukijifunza jifunze kwa moyo heshimu na kulinda sheria za karate bila nidhamu huwez kufika mbali katika michezo ya mapigano
 
Kuna watu wakiona mtu ana uwezo mkubwa kimapigano wanadhani ile imetokea tu kwa mazoezi haya ya kawaida yanoyoonekana machoni pa wengi. Kuna maumivu utakutana nayo utatamani roho ichomoke upumzike.
acha weweee kwamba ni mazoezi hadi unatamani kukimbia? mimi sikimbii.......
 
Vijana wakifanya mazoezi miezi sita anajiona ana uwezo wa kupambana na binadamu yeyote.
Halafu anaacha kuja mazoezini..anaenda mtaani anachokoza watu anapigwa anarudi tena mazoezini..mnajua tu huyu amepigwa...halafu hawa ndiyo wanaowafanya watu mtaani wanasema amepigwa pamoja na kujifanya anacheza Karate.
 
Hatari Sana mkuu, nimeshangaa Kuna binadamu anakuwa na ujasiri wa kusema hadharani kwamba hawezi kusimama na mtu dakika mbili akatoboa nimefikiria Sana.
 
Back
Top Bottom