Saibaba, harambee, Dar express, Dar lux, shabiby hizi gari Sasa hivi haziendi Nairobi Basi inayoenda ya kishua n Tahmeed na Kuna nyingiine hii n zoa zoa Kama saibaba inaitwa Spider japo hili n 9t kwa 9t linaanzia DSM.
Kama upo dar kila chuma (Dsm to Ars from 15,000/= to 33,000/= inategemea na wewe) mpaka Arusha saa 10 ushafika chukua Noah (Ars to namanga 7,000/=) saa 12 ushafika namanga.
Namanga unabadilisha pesa onyo usiende kwa msomali au mkenya utapigwa Kama HUJUI hesabu ya pesa NENDA kwa watanzania wenzako Mana sie hatujui maisha hvyo rate zipo chini.
From namanga to Nairobi nauli n Ksh 500/= Kama una karatasi Kama huna unaongeza Kuna #$-@*%!$? Huko njiani hii ndo njia rahisi hauhitaji sijui Chet Cha KORONA Wala passport hii n nzuri na salama na haina Mambo mengi Ila usiweke garantii Kama n mtu wa gundu.
NOTE: Badilisha kiasi chapesa unachohisi utaenda kutumia ukibadilisha nyingi au kidogo kupita uhitaji utawafanyia kazi wanaobadilisha pesa.
Hii ya Basi ukifika namanga mnaingia kwenye foleni ya KORONA Mara passport hii inachukua muda Ila Kama upo kamili haina shida.
Kumbuka n SHERIA ukiwa ardhi ya Kenya kuvaa barakoa ukikamatwa n pingu uzuri Askari wakenya mnamalizana mapema sema ndo hvyo utatoboka ukileta ligi au wakikutambua kuwa n mbongo mzee utakuwa huna bahati Yan umeisha.
Ukifika Arusha Nyama choma nusu n 5,000/= huku hatuna habari za mapande usishangae ukiwa bar ukaona upande wa ng'ombe mzima ukadhani n bucha kumbe n jiko la Nyama choma.
Safari njema.