Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

Ikishindikana aende Arusha au Rombo akifika huko wenyeji watampa namna ya kufika kwa kuwa ni mipakani lazima watakuwa na connection.
Yeye tu ashindwe mwenyewe akifika tarakea mpakani pale atakutana na shuttle za nairobi moshi arusha....adandie hapo
 
aldeo Mtamba wa Panya

Curfew ni saa nne usiku imeanza na si saa sita atleast kwa counties zingine hii sheria si kali, lakini kwa Nairobi hii sheria ya curfew ni kali imepelekea vijana wengi sana kupigwa risasi na polisi na kuuawa (remember this)


Pia from Namanga to Nairobi masaa ya kusafiri hayapo fixed sababu ya foleni ukifika Mombasa road kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea

Budaaa, habari za masiku[emoji4] tusanue wanao dili za huko +254 Bongo uduanzi mwingi tunataka na sisi tubadili mazingira
 
Back
Top Bottom