Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

Mosi Kama huna haraka na ungependa kufanya utalii kidogo panda tahmeed dar mombasa price(KES 1,500) kisha ukifika pumzika asubuhi panda treni(SGR) masaa matano uko nairobi.

Pili kama una haraka panda Tahmeed dar to nairobi kupitia arusha price(KES 3,500)
Mombasa to Nairobi ni pesa ngapi kwa Train?
Na ni pesa ngapi kwa Bus?
 
Ahsante kaka..

Nikitoka Namanga saa 12 jioni nitafika Nairobi saa ngapi?

Je, Namanga-Nairobi usafiri ni masaa 24??
Namanga to Nairobi n 2:30hrs hvyo kwenye saa tatu au tatu na nusu utakuwa umefika pia Kenya ukumbuke Wana Ile lockdown ya usiku sema Sina uhakika inaanza sa ngap lakin nafikiria n saa sita usiku.

Kuna Gari kampuni mbili pale namanga Kati ya super coach Sacco vs naekana Sacco ushauri panda naekana Sacco hzo zipo fasta Sana wanaita wa masaa mbele kwa jion hyo unaeza tumia masaa mawili pia folen sio kihivyo usiku labda Kuna eneo linaitwa mlolongo kwasasa katika mombasa road hapo ndo Makao makuu ya folen.

Pia Basi za dar Kuna ambazo zinafika saa Tisa Arusha hvyo ukiamua kupiga bampa to bampa Nairobi n saa mbili kasoro
 
Habari waheshimiwa,

Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya.

Naomba pia muambatanishe na nauli zake.

Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya ghafla.

Itakuwa vizuri zaidi kama mtanijulisha kama kuna changamoto yoyote kwa safari hii hasa kipindi hiki cha ugonjwa wa CORONA

Ahsanteni waungwana!
Kama hamna gari basi panda Tahmeed za Mombasa
Kisha ukifika Mombasa utajua namna ya kufika Nairobi
 
Namanga to Nairobi n 2:30hrs hvyo kwenye saa tatu au tatu na nusu utakuwa umefika pia Kenya ukumbuke Wana Ile lockdown ya usiku sema Sina uhakika inaanza sa ngap lakin nafikiria n saa sita usiku.

Kuna Gari kampuni mbili pale namanga Kati ya super coach Sacco vs naekana Sacco ushauri panda naekana Sacco hzo zipo fasta Sana wanaita wa masaa mbele kwa jion hyo unaeza tumia masaa mawili pia folen sio kihivyo usiku labda Kuna eneo linaitwa mlolongo kwasasa katika mombasa road hapo ndo Makao makuu ya folen.

Pia Basi za dar Kuna ambazo zinafika saa Tisa Arusha hvyo ukiamua kupiga bampa to bampa Nairobi n saa mbili kasoro
Ahsante kaka..

Kuhusu CORONA unanishauri nibebe pesa kiasi gani ?
 
aldeo Mtamba wa Panya

Curfew ni saa nne usiku imeanza na si saa sita atleast kwa counties zingine hii sheria si kali, lakini kwa Nairobi hii sheria ya curfew ni kali imepelekea vijana wengi sana kupigwa risasi na polisi na kuuawa (remember this)

Pia from Namanga to Nairobi masaa ya kusafiri hayapo fixed sababu ya foleni ukifika Mombasa road kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea
 
Hyo Sheria ya usiku n ya kisiasa zaid sema sikujua inaanza saa ngapi Ila Askari wa Kenya wameivalia njuga Sana.

N kweli folen ya Mombasa road haitabiriki Ila kwa jion au usiku kuingia Nairobi nafikiri n easy Sana kuliko asubuh na mchana
 
Habari waheshimiwa,

Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya.

Naomba pia muambatanishe na nauli zake.

Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya ghafla.

Itakuwa vizuri zaidi kama mtanijulisha kama kuna changamoto yoyote kwa safari hii hasa kipindi hiki cha ugonjwa wa CORONA

Ahsanteni waungwana!
Friends

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha niandae kiasi gani ya "ganji" njiani kama sitaki kupima CORONA.

Nielewe vizuri ninachouliza kaka..!
Mkuu hiyo itategemea na wewe utakavyoongea nao ama kukubaliana nao (hongo) lakini pia wanafanya Rapid test ya COVID-19 sijui wanatoza pesa ngapi
 
Kwa mujibu wa msigwa, kupima covid kwa nchi majirani na Tanzania ni free of charge

Bus ni darlux 70,000
Walishaacha iyo ruti mdau

Hapo dar express tu chombo ya masaa ya mbele ndio itamfaa
 
Back
Top Bottom