Mombasa to Nairobi ni pesa ngapi kwa Train?Mosi Kama huna haraka na ungependa kufanya utalii kidogo panda tahmeed dar mombasa price(KES 1,500) kisha ukifika pumzika asubuhi panda treni(SGR) masaa matano uko nairobi.
Pili kama una haraka panda Tahmeed dar to nairobi kupitia arusha price(KES 3,500)
Namanga to Nairobi n 2:30hrs hvyo kwenye saa tatu au tatu na nusu utakuwa umefika pia Kenya ukumbuke Wana Ile lockdown ya usiku sema Sina uhakika inaanza sa ngap lakin nafikiria n saa sita usiku.Ahsante kaka..
Nikitoka Namanga saa 12 jioni nitafika Nairobi saa ngapi?
Je, Namanga-Nairobi usafiri ni masaa 24??
Kama hamna gari basi panda Tahmeed za MombasaHabari waheshimiwa,
Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya.
Naomba pia muambatanishe na nauli zake.
Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya ghafla.
Itakuwa vizuri zaidi kama mtanijulisha kama kuna changamoto yoyote kwa safari hii hasa kipindi hiki cha ugonjwa wa CORONA
Ahsanteni waungwana!
Kwa treni nimeshataja pitia uzi vizuri kwa mabasi ya asubuhi (KES 1200) na kwa basi yanayotoka jioni ni (KES 1000)Mombasa to Nairobi ni pesa ngapi kwa Train?
Na ni pesa ngapi kwa Bus?
Ahsante kaka..Namanga to Nairobi n 2:30hrs hvyo kwenye saa tatu au tatu na nusu utakuwa umefika pia Kenya ukumbuke Wana Ile lockdown ya usiku sema Sina uhakika inaanza sa ngap lakin nafikiria n saa sita usiku.
Kuna Gari kampuni mbili pale namanga Kati ya super coach Sacco vs naekana Sacco ushauri panda naekana Sacco hzo zipo fasta Sana wanaita wa masaa mbele kwa jion hyo unaeza tumia masaa mawili pia folen sio kihivyo usiku labda Kuna eneo linaitwa mlolongo kwasasa katika mombasa road hapo ndo Makao makuu ya folen.
Pia Basi za dar Kuna ambazo zinafika saa Tisa Arusha hvyo ukiamua kupiga bampa to bampa Nairobi n saa mbili kasoro
Ahsante kaka..
Kuhusu CORONA unanishauri nibebe pesa kiasi gani ?
aldeo Mtamba wa Panya
Curfew ni saa nne usiku imeanza na si saa sita atleast kwa counties zingine hii sheria si kali, lakini kwa Nairobi hii sheria ya curfew ni kali imepelekea vijana wengi sana kupigwa risasi na polisi na kuuawa (remember this)
Pia from Namanga to Nairobi masaa ya kusafiri hayapo fixed sababu ya foleni ukifika Mombasa road kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea
Mie huwa sipiti na passport hvyo Corona huwa sipimi
Kutoka Namanga to Nairobi Ksh 1,200 inatoshaNamaanisha nijiandae na Tsh ngapi maana na mimi sitaki kupima CORONA
FriendsHabari waheshimiwa,
Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya.
Naomba pia muambatanishe na nauli zake.
Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya ghafla.
Itakuwa vizuri zaidi kama mtanijulisha kama kuna changamoto yoyote kwa safari hii hasa kipindi hiki cha ugonjwa wa CORONA
Ahsanteni waungwana!
Hao si wanapitia Mombasa ?Dar - Nairobi ni Tahmeed tu!hiyo pasipoti ya muda chukua huko huko dar kabla hujaanza safari.
Kutoka Namanga to Nairobi Ksh 1,200 inatosha
We ndo hujanielewa hyo 1,200 n nauli napesa ya njianiNamaanisha niandae kiasi gani ya "ganji" njiani kama sitaki kupima CORONA.
Nielewe vizuri ninachouliza kaka..!
Mkuu hiyo itategemea na wewe utakavyoongea nao ama kukubaliana nao (hongo) lakini pia wanafanya Rapid test ya COVID-19 sijui wanatoza pesa ngapiNamaanisha niandae kiasi gani ya "ganji" njiani kama sitaki kupima CORONA.
Nielewe vizuri ninachouliza kaka..!
Kwa mujibu wa msigwa, kupima covid kwa nchi majirani na Tanzania ni free of charge
Bus ni darlux 70,000
Walishaacha iyo ruti mdauKwa mujibu wa msigwa, kupima covid kwa nchi majirani na Tanzania ni free of charge
Bus ni darlux 70,000