Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

Ikishindikana aende Arusha au Rombo akifika huko wenyeji watampa namna ya kufika kwa kuwa ni mipakani lazima watakuwa na connection.
Yeye tu ashindwe mwenyewe akifika tarakea mpakani pale atakutana na shuttle za nairobi moshi arusha....adandie hapo
 

Budaaa, habari za masiku[emoji4] tusanue wanao dili za huko +254 Bongo uduanzi mwingi tunataka na sisi tubadili mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…