Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Achana na wanaokubeza, ingia Google andika jwtz, link ya Kwanza ndio tovuti ya jeshi lako, jeshi liko imara, jeshi halishindwi, kila kitu unachotakiwa kujua raia,kipo hapo. Nenda kalijue jeshi lako na ujivunie kulindwa na jeshi kamili.
Kama unachazaidi, mawasiliano yapo, andika barua Pepe, piga simu utajibiwa.
 
Kwenye vita mtandaji mkuu ni coplo na captain, kwa jeshi la polisi kuna mtu anaitwa maja huwa anakuwa na belti imepita kiuoni na nyingine nusubega kuungana na wa kiunoni pia huyu kwa jeshi la polis ndio mtendaji mkuu wa kaz za kila siku. Hayo ndio nayaelewa
 
Nashukuru sana mkuu kwa muongozo wako.Hao wanaojibu kama wamejinyea nitakuwa nawajibu kadri ya mavi yao
 
Daaar pole San jamaa angu ww km unatak kujua majukumu ya hao watu subilia upate nafasi ya kuingia huk ndio utaenda kuyafahamu vizr majukumu Yao saw
 
Daaar pole San jamaa angu ww km unatak kujua majukumu ya hao watu subilia upate nafasi ya kuingia huk ndio utaenda kuyafahamu vizr majukumu Yao saw
Nadhani hata wewe unastahili pole kwa kuwa mtupu kuhusu mada na kutokuja na majibu ya ninachohitaji kufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…