Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
Shukrani...Nakuona afande chabrosy .
Safi sana elimisha raia jeshi letu Ni tunu kwa Taifa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani...Nakuona afande chabrosy .
Safi sana elimisha raia jeshi letu Ni tunu kwa Taifa .
Ndio afandeee[emoji61]Hamna hata mtu yeyote mwenye msaada.Ni bora mkae kimya Kuliko kujaza mavi yenu humu.
Sergeant na staff sergeant hao ni askari waandamizi wakiwa ndani ya platoon ,ambapo Platoon inakuwa inatekeleza amri za Ofisa (Nyota moja au nyota mbili) na huwa anakuwepo mmoja tu yaani Sr NCO katika Platoon nzimaMm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.
Naanza na vyeo vya maaskari.
Private (aka shati tupu)
Huyu hana ni askari ambae ametoka mafunzoni mda si mrefu ili awe askari kamili anafanya coz inaitwa level 3 hi coz akifanya ndo upewa na kuruhusiwa kufanya fatiki za kijeshi na hii level 3 ni coz ya miezi mi 3 tu akimaliza hii coz sasa ndo upewa majukumu kama yafuatayo itategemea na kikosi ambacho yupo na command ambayo yupo command namanisha matawi haya ya jwtz na izi branch zipo 5 ya kwanza Makao makuu,ya pili Nyika ya tatu Wanamaji Navy,ya Nne Anga ya tano Jeshi la kujenga taifa private majukumu yake makubwa ni
Kulinda,kufyeka,kufanya usafi wa kikosi kwenda mission mbali mbali ambazo ni ndogo ndogo,kama ana professional mfano ya kuendesha gari bac ataendesha gari za jeshi ila lazima aende coz ya kujifunza kuendesha gari za jeshi ila private kazi yake kubwa ni kulinda guard bac iyo ndo kazi yake kubwa...
Lance Copro.(V moja)
Huyu majukumu yake ni kulinda na kuwangalia maprivate cheo iki mara nyingi uwa ni cha upendeleo tuu.
Copro(V mbili)
Huyu ndo kila kitu jeshi majukumu yake ni kutoa mafunzo kwa maafisa kutoa mafunzo kwa askari makuruti kulinda pia huyu anakuwa ana section nyingi sana za kupiganisha vitani huyu ni kama kiungo jeshini...
Sargent( V tatu)
Huyu kazi yake kubwa ni kufundisha,kulinda,kufanya shughuri ndogo ndogo pia kutoa amri kwa askari walio chini yake ni afande mzuri sana huyu
Staff sargent(bibi na bwana na V 3)
Huyu ni sir major huyu ndo mkubwa wa maskari wadogo wadogo wote kazi yake kubwa kuwafanya askari kuwa pamoja kupanga detail za kazi kikosini kuandaa order mbali mbali..
Mteule daraja la kwanza (lisaa korokoro analivaa mkononi)
Huyu kazi yake kubwa ni kuwafanya askari wawe na utulivu kikosini.
Mteure Daraja la pili (lisaa analivaa mkononi lililo na rangi nyekundu limekoza lina bibi na bwana)
Huyu kazi yake kuwa fanya skari wawe na nidhamu na kutoa adhabu mbali mbali kwa maskari watukutu.. iyondo kazi yake kubwa..nitaendelea....
Iko mada humu ndani imeelezea maswali yako yote hayo mpaka Na picha za nyota zinavyoongezeka
Sawa mkuu...Njoo na kwa maafisa ila nina swaliMm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.
Naanza na vyeo vya maaskari.
Private (aka shati tupu)
Huyu hana ni askari ambae ametoka mafunzoni mda si mrefu ili awe askari kamili anafanya coz inaitwa level 3 hi coz akifanya ndo upewa na kuruhusiwa kufanya fatiki za kijeshi na hii level 3 ni coz ya miezi mi 3 tu akimaliza hii coz sasa ndo upewa majukumu kama yafuatayo itategemea na kikosi ambacho yupo na command ambayo yupo command namanisha matawi haya ya jwtz na izi branch zipo 5 ya kwanza Makao makuu,ya pili Nyika ya tatu Wanamaji Navy,ya Nne Anga ya tano Jeshi la kujenga taifa private majukumu yake makubwa ni
Kulinda,kufyeka,kufanya usafi wa kikosi kwenda mission mbali mbali ambazo ni ndogo ndogo,kama ana professional mfano ya kuendesha gari bac ataendesha gari za jeshi ila lazima aende coz ya kujifunza kuendesha gari za jeshi ila private kazi yake kubwa ni kulinda guard bac iyo ndo kazi yake kubwa...
Lance Copro.(V moja)
Huyu majukumu yake ni kulinda na kuwangalia maprivate cheo iki mara nyingi uwa ni cha upendeleo tuu.
Copro(V mbili)
Huyu ndo kila kitu jeshi majukumu yake ni kutoa mafunzo kwa maafisa kutoa mafunzo kwa askari makuruti kulinda pia huyu anakuwa ana section nyingi sana za kupiganisha vitani huyu ni kama kiungo jeshini...
Sargent( V tatu)
Huyu kazi yake kubwa ni kufundisha,kulinda,kufanya shughuri ndogo ndogo pia kutoa amri kwa askari walio chini yake ni afande mzuri sana huyu
Staff sargent(bibi na bwana na V 3)
Huyu ni sir major huyu ndo mkubwa wa maskari wadogo wadogo wote kazi yake kubwa kuwafanya askari kuwa pamoja kupanga detail za kazi kikosini kuandaa order mbali mbali..
Mteule daraja la kwanza (lisaa korokoro analivaa mkononi)
Huyu kazi yake kubwa ni kuwafanya askari wawe na utulivu kikosini.
Mteure Daraja la pili (lisaa analivaa mkononi lililo na rangi nyekundu limekoza lina bibi na bwana)
Huyu kazi yake kuwa fanya skari wawe na nidhamu na kutoa adhabu mbali mbali kwa maskari watukutu.. iyondo kazi yake kubwa..nitaendelea....
Contradiction.Sawa mkuu...Njoo na kwa maafisa ila nina swali
Kwamfano mtu akishamaliza mafunzo yake ya Jkt either iwe kwa mujibu au kujitolea,Halafu akarudi mtaani then akapata mtu wa kumconnect na ajira za jeshi,Kuna uwezekano wa kutoka mtaani kwenda kozi ya ajira moja kwa moja au mpaka arudi Ukuruta tena?
Kula like mkuuSergeant na staff sergeant hao ni askari waandamizi wakiwa ndani ya platoon ,ambapo Platoon inakuwa inatekeleza amri za Ofisa (Nyota moja au nyota mbili) na huwa anakuwepo mmoja tu yaani Sr NCO katika Platoon nzima
Koplo, Sergeant,Staff Sergeant huwa ni kama wapokea amri kutoka kwa kamanda wa platoon(huyu huwa ni kati hivi vyeo viwili ; luteni au Luteni usu) na kuzitekeleza pamoja na privates
ipi?Contradiction.
CheersKula like mkuu
Kwa sasaizi hakuna uwezekano labda kwa zamani lkn sio saizi saizi ni ngumu sana...Sawa mkuu...Njoo na kwa maafisa ila nina swali
Kwamfano mtu akishamaliza mafunzo yake ya Jkt either iwe kwa mujibu au kujitolea,Halafu akarudi mtaani then akapata mtu wa kumconnect na ajira za jeshi,Kuna uwezekano wa kutoka mtaani kwenda kozi ya ajira moja kwa moja au mpaka arudi Ukuruta tena?
Mkuu ujamuelewa dogo dogo kataka majukumu ya askari wakiwa vikosini na wala sio vitani we umeingia deap sana unavyomueleza kusu platoon mtoa mada aelewi chochote ajui platoo ajui campany ajui section ajui chochote yy mtoa mada kataka kujua kusu kazi wanazofanya askari wa JW wakiwa kwenye vikosi vyao yani majukumu yao ya kila siku yakoje???sasa mm ndo nimemsaidia kwa kumuelewesha majukumu yao ww unaongelea vitu vya ndani sana awezi akakuelewa mtoa Mada.....Sergeant na staff sergeant hao ni askari waandamizi wakiwa ndani ya platoon ,ambapo Platoon inakuwa inatekeleza amri za Ofisa (Nyota moja au nyota mbili) na huwa anakuwepo mmoja tu yaani Sr NCO katika Platoon nzima
Koplo, Sergeant,Staff Sergeant huwa ni kama wapokea amri kutoka kwa kamanda wa platoon(huyu huwa ni kati hivi vyeo viwili ; luteni au Luteni usu) na kuzitekeleza pamoja na privates
Sawa mkuuMkuu ujamuelewa dogo dogo kataka majukumu ya askari wakiwa vikosini na wala sio vitani we umeingia deap sana unavyomueleza kusu platoon mtoa mada aelewi chochote ajui platoo ajui campany ajui section ajui chochote yy mtoa mada kataka kujua kusu kazi wanazofanya askari wa JW wakiwa kwenye vikosi vyao yani majukumu yao ya kila siku yakoje???sasa mm ndo nimemsaidia kwa kumuelewesha majukumu yao ww unaongelea vitu vya ndani sana awezi akakuelewa mtoa Mada.....
Hatakama ana connection ya cdf mwenyewe?au mpaka arudi ukuruta tena wakati nambo ya SM anayo tayari?Kwa sasaizi hakuna uwezekano labda kwa zamani lkn sio saizi saizi ni ngumu sana...
Kwanza vyeo vyenyewe unavijua??VitajeHamna hata mtu yeyote mwenye msaada.Ni bora mkae kimya Kuliko kujaza mavi yenu humu.
Inaonekana kichwani hamna kitu,nguo tu ndio zinaanikagwa simbilisi wewe.Hata google ukisearch unaweza pata taarifa za JWTZ sasa simbilisi kama wewe unaona kuuliza ni kuandika mambo ya jeshiWanaona raha wanavyoanika mambo ya majeshi mitandaoni, lakini wajue tu kiama chao kiko mbioni maana mambo ya majeshi hayaanikwi kila sehemu.
Safi sana mkuu.Nilikuwa nataka majibu kama haya.Sasa watu wenye akili ndogo information kama hizi wanazichukulia kama ni kuhatarisha usalama.Haya kama hapa kwa kutaja majukumu haya ni usalama gani umehatarishwa.Watu wenye viherehere ndio wako.mstari wa.mbele tucomment.Mtu kama hajui kitu ni.bora aka kimya.Mm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.