Mm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.
Naanza na vyeo vya maaskari.
Private (aka shati tupu)
Huyu hana ni askari ambae ametoka mafunzoni mda si mrefu ili awe askari kamili anafanya coz inaitwa level 3 hi coz akifanya ndo upewa na kuruhusiwa kufanya fatiki za kijeshi na hii level 3 ni coz ya miezi mi 3 tu akimaliza hii coz sasa ndo upewa majukumu kama yafuatayo itategemea na kikosi ambacho yupo na command ambayo yupo command namanisha matawi haya ya jwtz na izi branch zipo 5 ya kwanza Makao makuu,ya pili Nyika ya tatu Wanamaji Navy,ya Nne Anga ya tano Jeshi la kujenga taifa private majukumu yake makubwa ni
Kulinda,kufyeka,kufanya usafi wa kikosi kwenda mission mbali mbali ambazo ni ndogo ndogo,kama ana professional mfano ya kuendesha gari bac ataendesha gari za jeshi ila lazima aende coz ya kujifunza kuendesha gari za jeshi ila private kazi yake kubwa ni kulinda guard bac iyo ndo kazi yake kubwa...
Lance Copro.(V moja)
Huyu majukumu yake ni kulinda na kuwangalia maprivate cheo iki mara nyingi uwa ni cha upendeleo tuu.
Copro(V mbili)
Huyu ndo kila kitu jeshi majukumu yake ni kutoa mafunzo kwa maafisa kutoa mafunzo kwa askari makuruti kulinda pia huyu anakuwa ana section nyingi sana za kupiganisha vitani huyu ni kama kiungo jeshini...
Sargent( V tatu)
Huyu kazi yake kubwa ni kufundisha,kulinda,kufanya shughuri ndogo ndogo pia kutoa amri kwa askari walio chini yake ni afande mzuri sana huyu
Staff sargent(bibi na bwana na V 3)
Huyu ni sir major huyu ndo mkubwa wa maskari wadogo wadogo wote kazi yake kubwa kuwafanya askari kuwa pamoja kupanga detail za kazi kikosini kuandaa order mbali mbali..
Mteule daraja la kwanza (lisaa korokoro analivaa mkononi)
Huyu kazi yake kubwa ni kuwafanya askari wawe na utulivu kikosini.
Mteure Daraja la pili (lisaa analivaa mkononi lililo na rangi nyekundu limekoza lina bibi na bwana)
Huyu kazi yake kuwa fanya skari wawe na nidhamu na kutoa adhabu mbali mbali kwa maskari watukutu.. iyondo kazi yake kubwa..nitaendelea....