EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
- Thread starter
- #81
Mkuu mtu mpumbavu kama huyo usibishane nae angali hawezi hata kutofautisha neno rais na rahisiUjui chochote ww kaa kimya siri unazijua wewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mtu mpumbavu kama huyo usibishane nae angali hawezi hata kutofautisha neno rais na rahisiUjui chochote ww kaa kimya siri unazijua wewe...
Ni kweli mkuu pamoja na kutaka kujua majukumu ya kila siku ya wanajeshi wa vyeo mbalimbali,kuna sehemu pia niliuliza kuhusu ni mpaka askari wa cheo gani anakuwa front line vitani.Mkuu ujamuelewa dogo dogo kataka majukumu ya askari wakiwa vikosini na wala sio vitani we umeingia deap sana unavyomueleza kusu platoon mtoa mada aelewi chochote ajui platoo ajui campany ajui section ajui chochote yy mtoa mada kataka kujua kusu kazi wanazofanya askari wa JW wakiwa kwenye vikosi vyao yani majukumu yao ya kila siku yakoje???sasa mm ndo nimemsaidia kwa kumuelewesha majukumu yao ww unaongelea vitu vya ndani sana awezi akakuelewa mtoa Mada.....
Hili ni soma la vita ni somo lefu sana hili....Ni kweli mkuu pamoja na kutaka kujua majukumu ya kila siku ya wanajeshi wa vyeo mbalimbali,kuna sehemu pia niliuliza kuhusu ni mpaka askari wa cheo gani anakuwa front line vitani.
Kwani CDF ndo anamuingiza jeshini jeshi ni process mzee wanangalia ukitokea mujibu uwezi ingia mpaka utokee kujitolea au unaweza ingia kama iyo intake yako ya mujibu inafanana na intake ya kujitolea majina na namba apo sana ila ww umetolea mujibu 2012 uko operation sensa let say afu eti uwe na mbuyu ukupiganishie uingie jeshini mwaka 2020 op Melelani haiwezekaniki mana op na no zenu za jkt nitofauti uyo CDF atachemka tuu mana maafande wake wa chini watamkatalia na kumwambia mkuu huyu op yake na no zake ni za muda mrefu tutazibia nafasi watu wengine yani haiwezekaniki protocal na nidhamu za kijeshi zitafuatwa kama CDF atagoma atataka kuforce mana ma IO wapo na watafanya kazi yao nazani nimeelewekaHatakama ana connection ya cdf mwenyewe?au mpaka arudi ukuruta tena wakati nambo ya SM anayo tayari?
Halafu IO huwa wapo wanaojulikana na wasiojulikana , hivi ni TISS wale ? Maana DMI wanaripoti kwa CDFKwani CDF ndo anamuingiza jeshini jeshi ni process mzee wanangalia ukitokea mujibu uwezi ingia mpaka utokee kujitolea au unaweza ingia kama iyo intake yako ya mujibu inafanana na intake ya kujitolea majina na namba apo sana ila ww umetolea mujibu 2012 uko operation sensa let say afu eti uwe na mbuyu ukupiganishie uingie jeshini mwaka 2020 op Melelani haiwezekaniki mana op na no zenu za jkt nitofauti uyo CDF atachemka tuu mana maafande wake wa chini watamkatalia na kumwambia mkuu huyu op yake na no zake ni za muda mrefu tutazibia nafasi watu wengine yani haiwezekaniki protocal na nidhamu za kijeshi zitafuatwa kama CDF atagoma atataka kuforce mana ma IO wapo na watafanya kazi yao nazani nimeeleweka
NB:IO (huyu ni mtu wa usalama jeshini) na huwa yupo pale vetting za kuchukua kuruta wapya zinapo fanyika usaili unavyofanyika nazani nimeeleweka.....
CMI now days central military intelligenceHalafu IO huwa wapo wanaojulikana na wasiojulikana , hivi ni TISS wale ? Maana DMI wanaripoti kwa CDF
Ndio maana sijamuelewaCMI now days central military intelligence
Una ushamba ndani yakoKwasababu njia rahisi nenda pale Lugalo, ukiingia tu ndani waulize wale ma MP.
Kwani huoni uzi umekosa wachangiaji?
Hahahaha una mda gani kwny chombo wewe???Nikukumbushe tuu kuna Ma IO wengine sio makamisheni Officers wapo ma IO ma Copro wapo mpaka ma sargent mzee japo tumezoea kuona Most of namba kumi ni Kamisheni Officers lkn pia sio kila IO yupo Chini ya CDF kuna ma IO wengine wopo kwa ajiri ya AMIRI JESHI MKUU na co CDF Japo CDF yy anajua wapo chini yake lkn kiuhalisia hawapo chini yake ni ma undercover wa AMIRI JESHI MKUU uwezi nielewa hapa na nitaishia hapa hapa....sasa CDF Ajaribu kuingiza mtu ambae hana sifa undercover IO ajue afu uone hatua za kinidhamu zinavyochukuliwa.....Ndio maana sijamuelewa
Sababu jeshini vikosini huwa kuna Ofisi ya IO na huwa ni afisa kabisa wa kamisheni ,yaani IO wa kikosi kabisa sasa na ninavyojua hawa IO wanaripoti kwa CDF end product yao inaishia kwa CDF
Sijamuelewa aliposema hao IO watafanya yao kama CDF atalazimisha mambo Ilihali kwa ufahamu wangu mdogo wa hayo mambo najua hao IO wa jeshini ni wako chini ya CDF
Mfumo wa Usalama Jeshini haufanyi kazi hivyo.Na chain of command yake haipo straight kama ilivyo kwa "uniformed officers" wa kawaidaNdio maana sijamuelewa
Sababu jeshini vikosini huwa kuna Ofisi ya IO na huwa ni afisa kabisa wa kamisheni ,yaani IO wa kikosi kabisa sasa na ninavyojua hawa IO wanaripoti kwa CDF end product yao inaishia kwa CDF
Sijamuelewa aliposema hao IO watafanya yao kama CDF atalazimisha mambo Ilihali kwa ufahamu wangu mdogo wa hayo mambo najua hao IO wa jeshini ni wako chini ya CDF
Hamna hiko kitu Ma IO wengine ni ma koplo tu ila hawapo chini ya CDF, uzuri wa jeshini nidhamu imezingatiwa sana sio kama polisi, kila mtu anamuogopa mwenzake, na unakuta wale ma IO wa jeshi huwa wanaogopana sana kila mtu akimuhisi mwenzake ni IO wa kutoka TISSNdio maana sijamuelewa
Sababu jeshini vikosini huwa kuna Ofisi ya IO na huwa ni afisa kabisa wa kamisheni ,yaani IO wa kikosi kabisa sasa na ninavyojua hawa IO wanaripoti kwa CDF end product yao inaishia kwa CDF
Sijamuelewa aliposema hao IO watafanya yao kama CDF atalazimisha mambo Ilihali kwa ufahamu wangu mdogo wa hayo mambo najua hao IO wa jeshini ni wako chini ya CDF
Kwanni hao namba kumi wanaoripoti kwa CIC wanaogopwa humo chomboni incase wakifahamikaHahahaha una mda gani kwny chombo wewe???Nikukumbushe tuu kuna Ma IO wengine sio makamisheni Officers wapo ma IO ma Copro wapo mpaka ma sargent mzee japo tumezoea kuona Most of namba kumi ni Kamisheni Officers lkn pia sio kila IO yupo Chini ya CDF kuna ma IO wengine wopo kwa ajiri ya AMIRI JESHI MKUU na co CDF Japo CDF yy anajua wapo chini yake lkn kiuhalisia hawapo chini yake ni ma undercover wa AMIRI JESHI MKUU uwezi nielewa hapa na nitaishia hapa hapa....sasa CDF Ajaribu kuingiza mtu ambae hana sifa undercover IO ajue afu uone hatua za kinidhamu zinavyochukuliwa.....
Kwa sababu ni ma undercover...Kwanni hao namba kumi wanaoripoti kwa CIC wanaogopwa humo chomboni incase wakifahamika
Yap ni TISS wale.....Halafu IO huwa wapo wanaojulikana na wasiojulikana , hivi ni TISS wale ? Maana DMI wanaripoti kwa CDF
Madaktari wanaapa ila tunajua kazi zao.Pole
Kazi zenye viapo mtu akikwambia majukumu yake ni sawa na kutoa siri.
Hivyo basi njia rais ni kwenda sehemu husika wanakupa majibu.
Jamii forum wameshinda kesi yao inayohusu uhuru wa kupeana habari ila tutambue hakuna uhuru usio na mipaka...hata nyumbani kwako kuna vinavyokaa sebuleni na vinavyo kaa chumbani...na mwilini mwako kuna nguo inayovaliwa nje na nyingine ndani...ukienda tofauti jamii itakuona tofauti na tunaishi km jamii na hili ni jukwaa la jamii
Hamna hiko kitu Ma IO wengine ni ma koplo tu ila hawapo chini ya CDF, uzuri wa jeshini nidhamu imezingatiwa sana sio kama polisi, kila mtu anamuogopa mwenzake, na unakuta wale ma IO wa jeshi huwa wanaogopana sana kila mtu akimuhisi mwenzake ni IO wa kutoka TISS
Sahihi kabisaaaa mkuu jamaa kaenda zaidi uwanjani.Mkuu ujamuelewa dogo dogo kataka majukumu ya askari wakiwa vikosini na wala sio vitani we umeingia deap sana unavyomueleza kusu platoon mtoa mada aelewi chochote ajui platoo ajui campany ajui section ajui chochote yy mtoa mada kataka kujua kusu kazi wanazofanya askari wa JW wakiwa kwenye vikosi vyao yani majukumu yao ya kila siku yakoje???sasa mm ndo nimemsaidia kwa kumuelewesha majukumu yao ww unaongelea vitu vya ndani sana awezi akakuelewa mtoa Mada.....
Hata wakili ana apa ila shida ni aina ya kiapo..mfano ukijua namna ya kuuperate mfumo wa mawasiliano wa kijeshi si sawa na ukijua mfumo wa mawasiliano wa madakatari. Au ukimjua anaepeleka taarifa za siri za lindo si sawa na ukijua anaepeleka taarifa za wagonjwa hosptali.Madaktari wanaapa ila tunajua kazi zao.
Heri ya nini? Hapa jamaa ameomba job descriptions za wanajeshi tu. Hajataka kujua wanafanyaje kazi zao na mbinu zao. Tumekuwa wasiri hata kwa vitu visivyotakiwa kuwa siri, kuwa mtunza siri ni pamoja na kujua kipi ufiche kipi uweke wazi. Ukisema unaficha vyote ni ukanjanja, hujui muhimu kipi. Unaipata glasnost?Hata wakili ana apa ila shida ni aina ya kiapo..mfano ukijua namna ya kuuperate mfumo wa mawasiliano wa kijeshi si sawa na ukijua mfumo wa mawasiliano wa madakatari. Au ukimjua anaepeleka taarifa za siri za lindo si sawa na ukijua anaepeleka taarifa za wagonjwa hosptali.
Cha msingi tuombe heri.