Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

Baba Uzia

Senior Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
136
Reaction score
54
Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo).

Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
 
Ukishatoa Mahari na wazazi wakaridhia tu ndio umeshaoa. Kuthibitishwa kwenye dini watu tu walijianzia. Hakuna popote kwenye vitabu vya dini viongozi wake wamepewa hayo mamlaka
 
Kidini wanaohusika na ufungishaji wa ndoa ni makuhani, kimila wanaohusika na ufungishaji wa ndoa ni wazee wa mila, kiserikali wanaohusika na ufungishaji wa ndoa wakuu wa wilaya. Hapo inategemea wewe unataka kuwa na ndoa ya namna gani
 
Sio lazima kama sio mdau wa dini
Kuna ndoa za serikali pia
 
Back
Top Bottom