Ukishatoa Mahari na wazazi wakaridhia tu ndio umeshaoa. Kuthibitishwa kwenye dini watu tu walijianzia. Hakuna popote kwenye vitabu vya dini viongozi wake wamepewa hayo mamlaka
Kidini wanaohusika na ufungishaji wa ndoa ni makuhani, kimila wanaohusika na ufungishaji wa ndoa ni wazee wa mila, kiserikali wanaohusika na ufungishaji wa ndoa wakuu wa wilaya. Hapo inategemea wewe unataka kuwa na ndoa ya namna gani