Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni za phase 3.Ninatarajia kuongeza mashine nyingine 3 zenye motor kubwa kuliko hata za mashine ya kusaga kuna motor moja ina 22Kw .Swali langu ni je huu umeme niliofungiwa unaweza ku-run mashine zote hizi kwa wakati mmoja.Au nitatakiwa kuongeza mita nyingine ya phase 3 TANESCO
Moja ya mashine ni kama hii hapa chini
Moja ya mashine ni kama hii hapa chini