Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
usikute we ni fundi wa veta umepokea hiyo tenda sasa una haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mita haiongezi wala kupunguza umeme line yenu mtaani ikizidiwa nguvu kinachoongezwa ni tranfoma sio Mita.Vipi mkuu umeshaona hiko kinafanyika
Huo ufundi alinifundisha bibi yakousikute we ni fundi wa veta umepokea hiyo tenda sasa una haha
majibu ya ugoroHuo ufundi alinifundisha bibi yako
Mbona unakwepa kujibu swali nililokuuliza la je bibi yako ndio alifundisha ufundi huko vetanimajibu ya ugoro
nikulize wewe bibieMbona unakwepa kujibu swali nililokuuliza la je bibi yako ndio alifundisha ufundi huko vetani
22kw × 100= ?kw
Pesa ya tathmini sio
Nikitulia nitasoma vizuri maelekezo yangu na iwapo sijaelewa pahala nitauliza mkuu wanguMkuu hesabu za umeme hazipigwi hivyo. Umeme sio mandazi kwamba tupo wanne tununue manne.😁
Nirudi kwenye mada. Kwanza wanaokwambia unahitaji Transformer ni waongo, unaweza kukuta kijiji kina Tranformer moja kina Mashine za kusaga 10 hapo hapo kijijini.
Kwa kukusaidia tuu ili kupunguza gharama na kukutoa hofu na jambo lako, mwite fundi mzuri itategemea na main switch yako ni aina gani lakini best ni Tronic au Havels naamini Circuit Breaker hapo ni Amp 100 na Cut out zako hapo nje naamini zitakuwa Amp 100 na waya wake unaopokea umeme kutoka kwenye main line kuleta kwenye main switch uwe ni mm 25 kuendelea usipungue kama wamekuwekea mdogo basi utaubadiri maana unakwenda kutanua matumizi ya umeme hapo kwako.
Baada ya hapo nunua Isolator tatu za Amp 100. Fundi atoe Fuse baadhi zisizotumika azipange isolator hizo tatu aache fuse za kusambaza umeme wa taa na matumizi mengine kwenye panel/main switch yako.
Asiguse ule mfumo ambao tayari upo kwenye mashine hizo zinazofanya kazi yeye atengeneze mfumo mwingine kukidhi hizi mashine unazotaka kuongeza kwa kuongeza fuse na isolator hapo hapo. Isolator ya kwanza kati ya hizi zinazoongezwa itatupa umeme kwenye starter box ya kusukwa ambayo itahodhi starter tatu za kusukwa kwa pamoja katika box moja.
Namananisha usinunue starter nunua vifaa vyake Contactor, overload etc visukwe kwenye hiyo box kama pea tatu.
Kwa kufanya hivyo kila starter box kubwa moja itakuwa na starter motor 3 ndani yake kuwasha mashine tatu. Hivyo utakuwa na panel mbili za kuwasha mota sita.
Baada ya hapo fundi atachukua waya Armoured Cable Millimetres hata 17 kutoka katika Isolator kuleta katika Starter box moja, hakikisha fundi aweke Isolator nyingine ndani ya Starter box ipokee umeme.
Mota zilizopo mbali na hilo li starter box utatumia push buttons kuwasha kuipeleka mpaka karibu na ukuta wa mota husika ila starter yake itakuwa ndani kati ya haya maboksi starter mawili.
Faida ya huu mfumo ni:
Utadumu na starter "kupiga" Contactors maana utachagua Aina nzuri za contactors tofauti na kununua ya Mchina ndani zinakuwa sio nzuri, lifespan fupi kila uchao matengenezo ni gharama.
Utaounguza gharama ya mastata kibao hada Armoured Cable ambazo ni gharama we mwenyewe unajua.
Utakuwa na uhakika na mfumo wako kwa maana ya ubora wa vitu na usalama wake hapo ndani kwako.
Utapunguza ghara ya waya Armoured Cable maana stata zitakuwa pamoja na utawasha kaa push buttons ambazo zina waya wa bei rahisi.
Kama sijaeleweka utauliza bosi.
Unasomea fani gani?Kumbe HIGH VOLTAGE ina mavitu mengi hivi siyajui!?
Imeelezwa vizuri kitaalamu.Mkuu hesabu za umeme hazipigwi hivyo. Umeme sio mandazi kwamba tupo wanne tununue manne.😁

Masihara hayo jamaaajiandae kununua transformer
Ina maana hadi Leo hujafanikiwa?Masihara hayo jamaaa
Wakati rasmi ndio umefika sasa wa kuinjika mitambo yanguIna maana hadi Leo hujafanikiwa?
Mashine zenyewe ndio hizo😁
Hizo funga hata 100 mzee tunawaka twote.
Sure lazima wamuuzie Transformer hapo...unanatarajia kuongeza mashine za ukubwa gani ?
umesema 22kW, je kwa zote 3 ? 66kW ?
kama ndiyo tanesco watakuuzia transformer
hongera kwa kua na kiwanda
SawaTumeshafahamu wewe unamashine