Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Mtafute fundi wa umeme aliyekufungia hizo mashine za awali.Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni za phase 3.Ninatarajia kuongeza mashine nyingine 3 zenye motor kubwa kuliko hata za mashine ya kusaga kuna motor moja ina 22Kw .Swali langu ni je huu umeme niliofungiwa unaweza ku-run mashine zote hizi kwa wakati mmoja.Au nitatakiwa kuongeza mita nyingine ya phase 3 TANESCO
Moja ya mashine ni kama hii hapa chini
View attachment 2606045
unanatarajia kuongeza mashine za ukubwa gani ?Au nitatakiwa kuongeza mita nyingine ya phase 3
Na assume mashine zote ziwe na uwezo wa kufanya kazi kwa wakati mmoja nahisi hata hizo mita pengine zina kiwango cha current kinachotakiwa pengine kikizidi inajikataSipo kwenye umeme Ila Kwa uelewa wangu hakuna haja ya Mita mpya hapo cha kuongeza ni wiring yenye Stata box na circuit idadi sambamba na mota unazoongeza
Ni mota nzito nzito tu kuna ya 22kw,nyingine ni kama unayoiona hapo pichani juu kwenye mashine,kuna nyingine tena 2 kubwa zenye KW si chini ya 15.Swichi za baadhi ya mashine ni hiziunanatarajia kuongeza mashine za ukubwa gani ?
umesema 22kW, je kwa zote 3 ? 66kW ?
kama ndiyo tanesco watakuuzia transformer
hongera kwa kua na kiwanda
Ni mota nzito nzito tu kuna ya 22kw,nyingine ni kama unayoiona hapo pichani juu kwenye mashine,kuna nyingine tena 2 kubwa zenye KW si chini ya 15.Swichi za baadhi ya mashine ni hiziunanatarajia kuongeza mashine za ukubwa gani ?
umesema 22kW, je kwa zote 3 ? 66kW ?
kama ndiyo tanesco watakuuzia transformer
hongera kwa kua na kiwanda
HahahaVile TANESCO wamekausha👇😁😁😁View attachment 2610659
22kw × 100= ?kwMashine zenyewe ndio hizo😁
Hizo funga hata 100 mzee tunawaka twote.
jiandae kununua transformerNi mota nzito nzito tu kuna ya 22kw,nyingine ni kama unayoiona hapo pichani juu kwenye mashine,kuna nyingine tena 2 kubwa zenye KW si chini ya 15.Swichi za baadhi ya mashine ni hizi
View attachment 2613738
View attachment 2613740
Du! Gharama inaweza kuwa kiasi ganijiandae kununua transformer
Pesa ya tathmini sioMambo sensitivities kama hayo usipende kwenda blah blah
Kuna wakandalasi waite waje wakuangalizie
Kila kitu kinapigwa kwa HESABU
hata me nkija ntataka pesa
Vipi mkuu umeshaona hiko kinafanyikaSipo kwenye umeme Ila Kwa uelewa wangu hakuna haja ya Mita mpya hapo cha kuongeza ni wiring yenye Stata box na circuit idadi sambamba na mota unazoongeza