Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
463
Reaction score
634
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k
 
Mimi mwenyewe nilishangaa sana kusikia hicho kisiwa ni Mali ya ufaransa.kupitia wajuzi wanasema hicho kisiwa kulikuwa chini ya utawala wa kifaransa na baada ya uhuru kisiwa hiki kilikataa kuwa sehemu ya comoro na kubaki kuwa sehemu ya ufaransa Hadi leo.wajuzi zaidi watakuja kuongezea
 
Mimi mwenyewe nilishangaa sana kusikia hicho kisiwa ni Mali ya ufaransa.kupitia wajuzi wanasema hicho kisiwa kulikuwa chini ya utawala wa kifaransa na baada ya uhuru kisiwa hiki kilikataa kuwa sehemu ya madagascar na kubaki kuwa sehemu ya ufaransa Hadi leo.wajuzi zaidi watakuja kuongezea
Kilikataa kuwa chini ya comoro na sio Madagascar aisee
 
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k
Mayotte however became the 101st department of France (Fifth French Republic) on 31 March 2011 and became an outermost associated region of the European Union on 1 January 2014, following a March 2009 referendum with an overwhelming result in favour of remaining in the status of a French department. The issue of illegal immigration became very important in local political life in the 2010s and 2020s which led France to organize Operation Wuambushu.

In 2019, with an annual population growth of 3.8%, half the current population was less than 17 years old. In addition, 48% of the population were foreign nationals.[6] Most of the immigrants come from neighboring Island state of Comoros, many illegally. Despite being France's poorest department, Mayotte is much richer than other neighboring East African countries and has developed French infrastructure and welfare system, making it a tempting destination for Comorans and other East Africans living in poverty in the region.[7] The department faces enormous challenges.

According to an Institut national de la statistique et des etudes economiques (National Institute of Economic Statistics Studies of France - INSEE) report published in 2018, 84% of the population live under the poverty line according to French standards, compared to 16% in metropolitan France, 40% of dwellings are corrugated sheet metal shacks, 29% of households have no running water, and 34% of the inhabitants between the age of 15 and 64 do not have a job.[8] These difficult living conditions mainly concern the large population of illegal migrants who crowd into shanty towns.[9]
 
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k

Unajua GOOGLE ni bure?
 
Hata michango ya wanachama wa jamii forum ni google tosha.

Msipende kutafuniwa kila kitu mtasaidiwa hadi majukumu ya msingi, yani mtu aende google kuchukua taarifa ambazo ungeweza kugoogle mwenyewe, ni uvivu na ujinga ulioje?

Kuna mtu hapo kaweka taarifa alizotoa Wikipedia, nyie kinawashinda nini kwenda Wiki wenyewe?
 
Mfano Google map inauwa watu kwakukosea ramani,Kwahio mtu anapouliza humu ana lengo la kupata uhakika zaidi ,kama unakwazwa pita kimya kimya
 
lugha
 
Ugonjwa wa akili upo
 
Kuna tafsiri ya lugha zaidi ya 100 Wikipedia. Mitanganyika iache uvivu:

Mayote ni eneo la ng’ambo la Ufaransa (kwa Kifaransa: Départment de Mayotte). Linaundwa na visiwa vya Maore na Pamanzi pamoja na vingine vidogo. Eneo hili kijiografia ni hasa muungo wa funguvisiwa la Komori lakini si kisiasa.

Ramani ya Komori na Mayote.
Mayote iko katika kaskazini ya Mfereji wa Msumbiji kwenye Bahari Hindi, kati ya Madagaska upande wa mashariki-kusini na Msumbiji bara upande wa magharibi. Iko kilometa 295 magharibi kwa Madagaska na km 67 kusini mashariki mwa Nzwani.

Ardhi ya Mayote ina eneo la takriban km² 374. Ni mwamba wa matumbawe.

Mji mkuu ni Mamoudzou tangu mwaka 1977. Mji mkuu wa zamani ni Dzaoudzi kwenye kisiwa cha Pamanzi.
 
Mfano Google map inauwa watu kwakukosea ramani,Kwahio mtu anapouliza humu ana lengo la kupata uhakika zaidi ,kama unakwazwa pita kimya kimya

Google map haiui mtu bali matendo ya mtumiaji. Wangapi wamefariki kwa kutumia google map na wangapi wapo hai mbaka leo na bado wanatumia? Hata bila google map watu wamekosea njia na kufariki.

Kama unamashaka na site moja nenda nyingine. Kuna sites zaidi ya 100 zenye info kuhusu hiki kisiwa. Kimsingi nasisitiza watu wajue kujitafutia na kupunguza uvivu kwenye jambo lolote lile. Unakuta mbongo analalamika wabongo wa nje hawatoi connection ila mtu huyo huyo anataka hadi passport umtafutie wewe na nauli umlipie hapo ndo anaridhika.
 
Hili ni jukwaa watu tuko open kushare ya moyoni yenye tija ambayo husaidia vizazi na vizazi,Unapoleta jambo katika jukwaa kama hivi sio kwamba umeshindwa kwenda kwingine ila unatambua mchango mkubwa wa Wadau wa humu katika kutatua jambo lako....Tuseme hata asipoenda huko unapotaka aende atapungukuwa na nn?,Usifikirie kwa mtazamo hasi tu
 
Yaani uwe chini ya commoro au Ufaransa, you can create a company in EU, work in EU nk

Nchi nyingi za Africa zikipewa chance ya kujiunga na nchi ziliwatawala zitakubali tatizo tulishazifanya nchi zetu shithole
 
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k
Wewe elewa tu Mayotte walichagua fungu lililo jema! Kuna haja ya kupitia ikiwezekana kuandika historia upya. Can someone tell precisely ubaya wa ukoloni ulikuwa upi na uzuri wa tawala za kiafrika ni upi? Research topic hiyo mkafanyie kazi.
 
Msipende kutafuniwa kila kitu mtasaidiwa hadi majukumu ya msingi, yani mtu aende google kuchukua taarifa ambazo ungeweza kugoogle mwenyewe, ni uvivu na ujinga ulioje?

Kuna mtu hapo kaweka taarifa alizotoa Wikipedia, nyie kinawashinda nini kwenda Wiki wenyewe?
Kaa kwa kutulia watu tupate Nondo ...watu wana madini.
 
Back
Top Bottom