selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Kilikataa kuwa chini ya comoro na sio Madagascar aiseeMimi mwenyewe nilishangaa sana kusikia hicho kisiwa ni Mali ya ufaransa.kupitia wajuzi wanasema hicho kisiwa kulikuwa chini ya utawala wa kifaransa na baada ya uhuru kisiwa hiki kilikataa kuwa sehemu ya madagascar na kubaki kuwa sehemu ya ufaransa Hadi leo.wajuzi zaidi watakuja kuongezea
Ooh!.nimechanganya hapo.narekebishaKilikataa kuwa chini ya comoro na sio Madagascar aisee
Mayotte however became the 101st department of France (Fifth French Republic) on 31 March 2011 and became an outermost associated region of the European Union on 1 January 2014, following a March 2009 referendum with an overwhelming result in favour of remaining in the status of a French department. The issue of illegal immigration became very important in local political life in the 2010s and 2020s which led France to organize Operation Wuambushu.Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k
Hata michango ya wanachama wa jamii forum ni google tosha.Unajua GOOGLE ni bure?
Hata michango ya wanachama wa jamii forum ni google tosha.
Mfano Google map inauwa watu kwakukosea ramani,Kwahio mtu anapouliza humu ana lengo la kupata uhakika zaidi ,kama unakwazwa pita kimya kimyaMsipende kutafuniwa kila kitu mtasaidiwa hadi majukumu ya msingi, yani mtu aende google kuchukua taarifa ambazo ungeweza kugoogle mwenyewe, ni uvivu na ujinga ulioje?
Kuna mtu hapo kaweka taarifa alizotoa Wikipedia, nyie kinawashinda nini kwenda Wiki wenyewe?
lughaMsipende kutafuniwa kila kitu mtasaidiwa hadi majukumu ya msingi, yani mtu aende google kuchukua taarifa ambazo ungeweza kugoogle mwenyewe, ni uvivu na ujinga ulioje?
Kuna mtu hapo kaweka taarifa alizotoa Wikipedia, nyie kinawashinda nini kwenda Wiki wenyewe?
Ugonjwa wa akili upoMsipende kutafuniwa kila kitu mtasaidiwa hadi majukumu ya msingi, yani mtu aende google kuchukua taarifa ambazo ungeweza kugoogle mwenyewe, ni uvivu na ujinga ulioje?
Kuna mtu hapo kaweka taarifa alizotoa Wikipedia, nyie kinawashinda nini kwenda Wiki wenyewe?
lugha
Mfano Google map inauwa watu kwakukosea ramani,Kwahio mtu anapouliza humu ana lengo la kupata uhakika zaidi ,kama unakwazwa pita kimya kimya
Hili ni jukwaa watu tuko open kushare ya moyoni yenye tija ambayo husaidia vizazi na vizazi,Unapoleta jambo katika jukwaa kama hivi sio kwamba umeshindwa kwenda kwingine ila unatambua mchango mkubwa wa Wadau wa humu katika kutatua jambo lako....Tuseme hata asipoenda huko unapotaka aende atapungukuwa na nn?,Usifikirie kwa mtazamo hasi tuGoogle map haiui mtu bali matendo ya mtumiaji. Wangapi wamefariki kwa kutumia google map na wangapi wapo hai mbaka leo na bado wanatumia? Hata bila google map watu wamekosea njia na kufariki.
Kama unamashaka na site moja nenda nyingine. Kuna sites zaidi ya 100 zenye info kuhusu hiki kisiwa. Kimsingi nasisitiza watu wajue kujitafutia na kupunguza uvivu kwenye jambo lolote lile. Unakuta mbongo analalamika wabongo wa nje hawatoi connection ila mtu huyo huyo anataka hadi passport umtafutie wewe na nauli umlipie hapo ndo anaridhika.
We jamaa hukopeshagi ka isa😄Unajua GOOGLE ni bure?
Hiyo para nimeilewa vilivyo!Despite being France's poorest department, Mayotte is much richer than other neighboring East African countries and has developed French infrastructure and welfare system,
Hata AI sasa hivi kwa lugha ya kiswahili ipoUnajua GOOGLE ni bure?
Wewe elewa tu Mayotte walichagua fungu lililo jema! Kuna haja ya kupitia ikiwezekana kuandika historia upya. Can someone tell precisely ubaya wa ukoloni ulikuwa upi na uzuri wa tawala za kiafrika ni upi? Research topic hiyo mkafanyie kazi.Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa Macron alitembelea kisiwa hicho baada ya janga hilo...Naomba kwa wanaofahamu zaidi hii imekaaje kisiwa hiki kuwa milki ya ufaransa?wenyeji wa pale ni watu gani?Population yake ikoje?ukubwa wa eneo n.k
Kaa kwa kutulia watu tupate Nondo ...watu wana madini.Msipende kutafuniwa kila kitu mtasaidiwa hadi majukumu ya msingi, yani mtu aende google kuchukua taarifa ambazo ungeweza kugoogle mwenyewe, ni uvivu na ujinga ulioje?
Kuna mtu hapo kaweka taarifa alizotoa Wikipedia, nyie kinawashinda nini kwenda Wiki wenyewe?