Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

Atakuwa mpuuzi sana,wewe unaambiwa baba yako fulani na alikimbia malezi kama mbwakoko halafu ukubwani shobo za kazi gani???
Mkorintho hayo mambo hapo sana na yameleta simanzi kwenye familia.

Mtoto mlee kwa makubaliano ya kumsaidia labda umemchukua kwa Baba Mdogo au kw mjomba au Jirani lakini hawa wakubambikia ukishajua tu Fukuzia mbali.

Damu sio yako usijifanye una mahaba sana utakuja kuumia.
 
Ukijua sio mwanao mlete kwangu nitalea hata kama mie sio baba yake.

Nipo serious.
Kulea mtoto asiye wako toka kwa mwanamke usiye na mahusiano naye ni rahisi sana kuliko kulea mtoto asiye wako uliyebambikwa ndani ya mshusiano ili kulinda uhusiano uliopo.

Jamaa hawezi kukuletea ulee wewe, bali akiisha upata ukweli, atasitisha mahusiano hayo haramu.

Hapo wewe sasa utakuwa na fursa ya kumfuatilia huyo mtoto kwa huyo mzazi wake wa kike ili kutimiza azima yako.
 
Acha ujinga lea mtt..huyo ndio atakusaidia uzeene sheik. Kukamatishwa mtt ni heshima bwana maana mwanamke kakupa hadhi wewe kuwa baba hata kama sio mtt wako kaona unafit kuwa baba. My take, leo kid ilo bobuu
 
Wazinzi mko wengi. Nileee mbegu na mkojo wa mwingine??

Usiku unalala unahenya mtoto homa kali mshikaji aliyemla Mke wako yuko pembeni anakuchora anakuona fala tu
 
Mkorintho hayo mambo hapo sana na yameleta simanzi kwenye familia.

Mtoto mlee kwa makubaliano ya kumsaidia labda umemchukua kwa Baba Mdogo au kw mjomba au Jirani lakini hawa wakubambikia ukishajua tu Fukuzia mbali.

Damu sio yako usijifanye una mahaba sana utakuja kuumia.

Mkuu kumbuka ujinga ni wa mama sio mtoto.

Ushauri wangu ni mmoja,hata kama unapima,isiwe ni kwa ajiri ya kumfukuza mtoto,bali kuwa tu na uhakika na amani kwa sababu ya fukuto ambalo linachemka.

Mtoto hana anachojua,kwa uccenge wa baba yake mzazi na mama yake anakwenda kuumia kwa maamuzi yako ya mwisho.

Wazee walisema ubaba ni malezi sio kuweka mbegu.
 
Team kataa ndoa mpoo mwanachama mwenzenu yamemkuta
 
Ne
INTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.

SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.

Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.

Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"

Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.

Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?

THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to late nahitaji kupata ukweli.

#YNWA

Nenda ustawi wa jamii au tafuta mwanasheria utapataa utaratibu ila kupima ni laki 3 tsh ...baba, mama na mtoto wote lazima mkachukuliwe sample
 
Mwanaume akisha hisi Mtoto si wake,basi asilimia 95 majibu ya DNA yakitoka inakua kweli Mtoto si wake, Mara nyingi majibu ya DNA yatakayo onyesha Mtoto ni wako ni Yale ambayo Mama Mtoto ndiyo kalazimisha DNA ipimwe baada ya Baba kumkataa Mtoto!!
 
Back
Top Bottom