Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mkorintho hayo mambo hapo sana na yameleta simanzi kwenye familia.Atakuwa mpuuzi sana,wewe unaambiwa baba yako fulani na alikimbia malezi kama mbwakoko halafu ukubwani shobo za kazi gani???
Kulea mtoto asiye wako toka kwa mwanamke usiye na mahusiano naye ni rahisi sana kuliko kulea mtoto asiye wako uliyebambikwa ndani ya mshusiano ili kulinda uhusiano uliopo.Ukijua sio mwanao mlete kwangu nitalea hata kama mie sio baba yake.
Nipo serious.
Naunga mkonoPima Mwanangu, wasiwasi ndio akili.
Wazinzi mko wengi. Nileee mbegu na mkojo wa mwingine??Acha ujinga lea mtt..huyo ndio atakusaidia uzeene sheik. Kukamatishwa mtt ni heshima bwana maana mwanamke kakupa hadhi wewe kuwa baba hata kama sio mtt wako kaona unafit kuwa baba. My take, leo kid ilo bobuu
Mkorintho hayo mambo hapo sana na yameleta simanzi kwenye familia.
Mtoto mlee kwa makubaliano ya kumsaidia labda umemchukua kwa Baba Mdogo au kw mjomba au Jirani lakini hawa wakubambikia ukishajua tu Fukuzia mbali.
Damu sio yako usijifanye una mahaba sana utakuja kuumia.
INTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.
SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.
Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.
Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"
Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.
Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?
THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to late nahitaji kupata ukweli.
#YNWA
Nenda ustawi wa jamii au tafuta mwanasheria utapataa utaratibu ila kupima ni laki 3 tsh ...baba, mama na mtoto wote lazima mkachukuliwe sampleINTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.
SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.
Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.
Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"
Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.
Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?
THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to late nahitaji kupata ukweli.
#YNWA
Share please, we will weigh the benefits and risks on one balanceKuna DNA ya asili mkuu nikuambie, ila outcomes zake ni mbaya ikiwa mtoto sio wako kweli
Mwanaume akisha hisi Mtoto si wake,basi asilimia 95 majibu ya DNA yakitoka inakua kweli Mtoto si wake, Mara nyingi majibu ya DNA yatakayo onyesha Mtoto ni wako ni Yale ambayo Mama Mtoto ndiyo kalazimisha DNA ipimwe baada ya Baba kumkataa Mtoto!!Ne
Nenda ustawi wa jamii au tafuta mwanasheria utapataa utaratibu ila kupima ni laki 3 tsh ...baba, mama na mtoto wote lazima mkachukuliwe sample