Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

Gari nzuri , chukua ila usichukue yenye bampa kubwa sababu huwa zinaharibika gari ipo chini, pia wanasema usichukue yenye all wheel drive sababu ya mafuta itakula zaidi ya 2 wheel drive kama hela ya mafuta haisumbui chukua , ina space kubwa sana na ipo poa
 
Chukuwa ambayo ni hybrid, utakuja kunishukuru.

Hybrid ni ile yenye kutumia mafuta kwenye mahitaji ya nguvu kubwa na inatumia umeme kwenye mahitaji ya nguvu kiasi.

Dar - Mwanza unaweza usimalize lita 100 ukiendesha 'economically.'
 
Back
Top Bottom