Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

Toyota alphard
Toyota alphard unaweza zichambua Kwa kutokana na vitu tofauti
-agents
-engine
-version
-transmision
nk

Agents
Toyota alphard zilitengenezwa na agents wawili tofauti hapo tunapata
Alphard V and alphard G- alphard V ikitokea Kwa agents aitwae Toyopet huku alphard G ikitokea Kwa agents aitwae Nertz nathani mlishawahi ona vibandiko hivyo kwenye baadhi ya gari za Toyota.
Utofauti baina ya hizi gari mbili ni grill za mbele V ikiwa na grill ya mistari minne horizontal while G ikiwa na matundu madogo madogo, pia ukizunguka nyuma ya gari utaona herufi G Au V

Engine
Zilikuja na engine mbili
Moja ikiwa 2Az ikiwa na 2360cc 4cylinder na 1mz ikiwa na 2990cc six cylinder
Na hybrid ambayo mbele inakuwa na engine ya 2az na kati ya tairi za nyuma kunakuwa na motor ambayo betri zake huwa zimewekwa kati ya siti mbili za mbele hivyo hizi normal zinakuwa na kikabati Cha kuweka vitu, hybrid haina

Version
Hapa walitoa za aina mbili S na X
S hii ni alphard ambayo ni sport model ambapo utaitambua Kwa taa za forg light kuwa za duara na pia ndani inakuwa na cruise control button wakati X yenyewe inakuwa na forg light za pembenne na haina cruise control
Ndani ya X model zipo alphard XL hii ni luxury model ambapo utaitambua kwakuwa na audio control on stelingi pia inakuwa na vitu vya ziada kama air purifier au tv on top na side power door.
Hapo wakati unachagua angalia code itakuwa Kwa zenye engine ya 2az itakuwa ni AX na AXL na 1MZ engine itakuwa mx na mxl
Pia walitoa chache sana ambazo zilikuwa Alcantara version hizi zilikuja na seat flan armizing

Transmission
Hapa kula alphard ambayo ni 2wd na 4wd
Hizi huwa tunazitambua Kwa kuangalia code number 10 2wd na 15 ikiwakilisha 4wd mfano ANH 10 hii itakuwa na 2360cc(2az Fe) pia ni 2wd au mnh10 hii itakuwa 2990cc nayo ni 2wd
A na M ni code za engine ANH 10-2az na mnh- 1mz
Na hybrid ambayo code number inaanzia ATH

Seat
Kuna za seat 6 na za siti 8

Nimekueleza Kwa ufupi sana, pia kuanzia 2008 mwishoni Toyopet waliachana na alphard wakadesign upya na kuja na Toyota verfire.
Pia for first version mwaka 2005 alphard ilifanyiwa facelift na kuongezwa kakioo kadogo upande wa kushoto, size ya redio iliongezwa na idadi ya grill zilipunguzwa.

Nikutakie ununuzi mwema pia usisahau engine za 2az za mwanzo zilikuwa na fault ya nati zinazounganisha block na cylinder heard zilikuwa na tredi chache hivyo zikawa zinaachia na kusababishisha gari kuchanganya coolant na kuchemsha
Unyama mwingi mkuu
 
Nikiwa kama expert, haiwezekani in high way because utakapo vuka speed 60km/h automatically motor hujiswitch off na kinachobakia na engine ya 2az labda uamue safari yako yoote utembee below 60km/h na pasiwe na mlima na kupata hiyo hybrid ambayo betri zipo ok ni kazi na service ya betri ni kama 3m kwani sio betri hizi za kawaida
Nilisikia hilo swala LA battery Zina bei hatari mfano Toyota Prius ya hybrid watu huzikimbia cause zikishazingua battery inakua Hamna kazi tena
 
Toyota alphard
Toyota alphard unaweza zichambua Kwa kutokana na vitu tofauti
-agents
-engine
-version
-transmision
nk

Agents
Toyota alphard zilitengenezwa na agents wawili tofauti hapo tunapata
Alphard V and alphard G- alphard V ikitokea Kwa agents aitwae Toyopet huku alphard G ikitokea Kwa agents aitwae Nertz nathani mlishawahi ona vibandiko hivyo kwenye baadhi ya gari za Toyota.
Utofauti baina ya hizi gari mbili ni grill za mbele V ikiwa na grill ya mistari minne horizontal while G ikiwa na matundu madogo madogo, pia ukizunguka nyuma ya gari utaona herufi G Au V

Engine
Zilikuja na engine mbili
Moja ikiwa 2Az ikiwa na 2360cc 4cylinder na 1mz ikiwa na 2990cc six cylinder
Na hybrid ambayo mbele inakuwa na engine ya 2az na kati ya tairi za nyuma kunakuwa na motor ambayo betri zake huwa zimewekwa kati ya siti mbili za mbele hivyo hizi normal zinakuwa na kikabati Cha kuweka vitu, hybrid haina

Version
Hapa walitoa za aina mbili S na X
S hii ni alphard ambayo ni sport model ambapo utaitambua Kwa taa za forg light kuwa za duara na pia ndani inakuwa na cruise control button wakati X yenyewe inakuwa na forg light za pembenne na haina cruise control
Ndani ya X model zipo alphard XL hii ni luxury model ambapo utaitambua kwakuwa na audio control on stelingi pia inakuwa na vitu vya ziada kama air purifier au tv on top na side power door.
Hapo wakati unachagua angalia code itakuwa Kwa zenye engine ya 2az itakuwa ni AX na AXL na 1MZ engine itakuwa mx na mxl
Pia walitoa chache sana ambazo zilikuwa Alcantara version hizi zilikuja na seat flan armizing

Transmission
Hapa kula alphard ambayo ni 2wd na 4wd
Hizi huwa tunazitambua Kwa kuangalia code number 10 2wd na 15 ikiwakilisha 4wd mfano ANH 10 hii itakuwa na 2360cc(2az Fe) pia ni 2wd au mnh10 hii itakuwa 2990cc nayo ni 2wd
A na M ni code za engine ANH 10-2az na mnh- 1mz
Na hybrid ambayo code number inaanzia ATH

Seat
Kuna za seat 6 na za siti 8

Nimekueleza Kwa ufupi sana, pia kuanzia 2008 mwishoni Toyopet waliachana na alphard wakadesign upya na kuja na Toyota verfire.
Pia for first version mwaka 2005 alphard ilifanyiwa facelift na kuongezwa kakioo kadogo upande wa kushoto, size ya redio iliongezwa na idadi ya grill zilipunguzwa.

Nikutakie ununuzi mwema pia usisahau engine za 2az za mwanzo zilikuwa na fault ya nati zinazounganisha block na cylinder heard zilikuwa na tredi chache hivyo zikawa zinaachia na kusababishisha gari kuchanganya coolant na kuchemsha
Kiongozi,naomba unisaidie tofauti ya Toyota probox na Toyota succeed
 
Chukuwa ambayo ni hybrid, utakuja kunishukuru.

Hybrid ni ile yenye kutumia mafuta kwenye mahitaji ya nguvu kubwa na inatumia umeme kwenye mahitaji ya nguvu kiasi.

Dar - Mwanza unaweza usimalize lita 100 ukiendesha 'economically.'
Mkuu ukiwa na gari issue sio mafuta tu..unaijua bei ya betri ya hybrid?
 
Kwa MTU mwenye familia kubwa inafaa Sana hiyo gari hasa kipindi cha kwenda kwenye misiba mikoani.

Siti zake kama masofa ukaa Kwa kujiachia.

Kwenye fuel consumption inakula kawaida inafanana na harrier
Yaani umeona misiba tu mikoani ndio ya kuendea na alphard au sio, unaweza ukaanza kufa wewe na alphard lako..
yaani hujafikiri kwenda kwenye sherehe, kutembelea kwa wazazi... unawaza misiba tu...
 
Back
Top Bottom