Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe twaishi mtaa mmoja, Barabara ya ChanguKuna Alphard ya lukuvi nadhani latest model jamani ni nzuuuuri!
Jiraaaaniiiii!
mh!hii ngumu kumeza,dar to mwanza 50 ltrs?hebu fafanua mkuu..Up to 22km/ litre
Pattern tested 50% urban 50% highway
Eco-driving
Hivyo unaweza kutoboa Dar Mwanza kwa lita 50
Kama pesa ipo inunue tuWakuu habari, naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. [emoji120],
[emoji23][emoji23]Misiba ya kimataifaKwa MTU mwenye familia kubwa inafaa Sana hiyo gari hasa kipindi cha kwenda kwenye misiba mikoani..
Siti zake kama masofa ukaa Kwa kujiachia.
Kwenye fuel consumption inakula kawaida inafanana na harrier
Ni kama kusema hybrid cars zina "engine mbili"mh!hii ngumu kumeza,dar to mwanza 50 ltrs?hebu fafanua mkuu..
Nataka hii mkuu, nitafanyaje au niagizaje? Naomba mwanga bro.Around 11,000,000/= hivi baada ya ushuru
Nenda rudi ah ?!!,wewe jamaa unajua ni km ngapi?.Lita 100 ni nenda rudi au?
Ok !! Nilikuwa Sijui, asante kwa Maarifa.Ni kama kusema hybrid cars zina "engine mbili"
1. Ya kawaida ya kutumia mafuta
2. Motor inayotumia battery
Kwenye uhitaji wa nguvu kubwa engine ya kawaida inafanya kazi
Kwenye uhitaji wa nguvu ndogo, motor ndio hufanya kazi
Youtube how hybrid cars works
Pamoja na ushuru inaweza kuja km Shilingi ngapi??.Around 11,000,000/= hivi baada ya ushuru
Ushaambiwa hiyo 11M ni pamoja na ushuru.Pamoja na ushuru inaweza kuja km Shilingi ngapi??.
Nadhani anamaanisha, kununua mkononi mwa mtu!Nataka hii mkuu, nitafanyaje au niagizaje? Naomba mwanga bro.
Naamini, alimaanisha kununua kwa mtu mkononi ambayo imeshatumika.Ushaambiwa hiyo 11M ni pamoja na ushuru.
Kabla ya ushuru ni 6.8M [emoji41][emoji41]
PoleUp to 22km/ litre
Pattern tested 50% urban 50% highway
Eco-driving
Hivyo unaweza kutoboa Dar Mwanza kwa lita 50
Nikiwa kama expert, haiwezekani in high way because utakapo vuka speed 60km/h automatically motor hujiswitch off na kinachobakia na engine ya 2az labda uamue safari yako yoote utembee below 60km/h na pasiwe na mlima na kupata hiyo hybrid ambayo betri zipo ok ni kazi na service ya betri ni kama 3m kwani sio betri hizi za kawaidaUp to 22km/ litre
Pattern tested 50% urban 50% highway
Eco-driving
Hivyo unaweza kutoboa Dar Mwanza kwa lita 50