Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

Unyama mwingi mkuu
 
Nilisikia hilo swala LA battery Zina bei hatari mfano Toyota Prius ya hybrid watu huzikimbia cause zikishazingua battery inakua Hamna kazi tena
 
Kiongozi,naomba unisaidie tofauti ya Toyota probox na Toyota succeed
 
Chukuwa ambayo ni hybrid, utakuja kunishukuru.

Hybrid ni ile yenye kutumia mafuta kwenye mahitaji ya nguvu kubwa na inatumia umeme kwenye mahitaji ya nguvu kiasi.

Dar - Mwanza unaweza usimalize lita 100 ukiendesha 'economically.'
Mkuu ukiwa na gari issue sio mafuta tu..unaijua bei ya betri ya hybrid?
 
Kwa MTU mwenye familia kubwa inafaa Sana hiyo gari hasa kipindi cha kwenda kwenye misiba mikoani.

Siti zake kama masofa ukaa Kwa kujiachia.

Kwenye fuel consumption inakula kawaida inafanana na harrier
Yaani umeona misiba tu mikoani ndio ya kuendea na alphard au sio, unaweza ukaanza kufa wewe na alphard lako..
yaani hujafikiri kwenda kwenye sherehe, kutembelea kwa wazazi... unawaza misiba tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…