Labda sababu za kupunguza ni zipi
We ni ke au me?
Unafanya kazi gani?
Uwezo wako kiuchumi ukoje?
Majibu yako yatasaidia sana namna ya kukushauri
+Anaishi wapi?
+Single au married?
Nina ratiba ambayo inaweza kukusaidia kufanya hayo unayoyakusudia, hii ni kwaajiri ya dieting tu! Pia naweza kukupa maelekezo juu ya mazoezi yapi ya kufanya na yapi ya kupunguza kwa haraka zaidi, lkn yote yanahitaji kujitoa na uvumilivu! Ni pm tuongee biashara
Ahhaahaha nimekua mzito buanaaaa...ntashindwa kukimbia magufuli akija kwetu buaaanaaa 😂😂
Ahhaahaha nimekua mzito buanaaaa...ntashindwa kukimbia magufuli akija kwetu buaaanaaa
du..mbona kama umeanza kubana pua sasa!....kata tumbo,wezere mtaji!..,au una figa la kihindi?
Mmh haya bana
Mmh! Watu wa foreva sasa hv watajaa hapa,
Punguza kilo kumi kwa siku saba, hahahaha! Utajuta huko PM