Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar to Tanga

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
 
NENDA PALE MACHINGA COMPLEX MBELE KIDOGO KAMA UNAELEKEA VETA MKONO ULE ULE ULIZIA MAENEO YALE KUNA MAROLI YA KUSAFIRISHA MIZIGO KWENDA MIKOANI
 
Shukurani mkuu sina mzigo wa kujaza hata robo ya roli inakuaje sasa
 
Nenda pale Jangwani yanapopaki malori ulizia Ngamiani transporter wakakusafirishia mizigo yako yote.
 
Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
Safirisha kwa njia ya basi, kodi townace sijui nitakuwa nimepatia vipakie hadi shekilango au mbezi luis utapata mabasi kibao yanafanya hizo mambo
 
Kuna vitu kama masofa kabati dressing table show case kwa bus naona mtihani kidogo
 
Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
Mcheki bwana mmoja kule twitter anaitwa bajabiri ..ana kampuni yake inaitww bajabiri logistics..anadili na hizo inshu..ila itabidi upige picha hivyo vitu ili ajue gharama.
 
Nenda, mabibo sokoni, Tegeta sokoni au kwenye masoko ya machungwa utapata canter zinazotoka Tanga na kuleta machungwa kwenye masoko ya Dar, utasafirisha mizigo kwa bei Rahisi, kama utashindwa ni pm nikuunganishe na madereva wa magari yanayotoka Tanga kuleta machungwa Dar
 
Back
Top Bottom