Nahitaji kuwa mchumba

Nahitaji kuwa mchumba

waridiua

Member
Joined
May 26, 2017
Posts
16
Reaction score
188
Habari zenu wana jf,kuna rafiki yangu amenishauri nije humu ntapata mchumba kwakua yeye kapata humu na wamefunga ndoa.
Naitaji mwanaume anae itaji mwanamke natoa ahadi mapema nitampenda akitokea umri kuanzia miaka 28-35 awe ana uwezo wa kutatua changamoto na mtafutaji,mimi ni mwanamke mwenye upendo wa kweli karibu in PM
 
Umepotea njia dada huku kumejaa walafi wa papuchi tuu![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom